Walioitwa interview VETA

Walioitwa interview VETA

Waliopita kwenye usaili wa kwanza usaili wa pili ratiba imetoka angalia website ya VETA na kwa kada zingine ambao walikuwa bado hawajaitwa kwenye shortlist nao wameitwa na usaili wao ni th 26/9/2017 j.nne ijayo. Kwa taarifa kamili na kuona majina yote na vituo vya kufanyia usaili tembelea web ya VETA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom