Recent content by Bandorajr

  1. B

    Mh. Juma Nkamia (MB) ni mshari na mtu mwenye dharau

    Tupa kule....! Mke wake amekosa u-makamu wa rais pale mipango. Mke wa kilaza
  2. B

    Mahakama yatoa Amri Askofu Mokiwa na Wenzake wakamatwe kwa kutotii mahakama!

    Jifunze kuandika heading,au unadhani unaandikia magazeti ya udaku! kuhudhulia kusimikwa kwa huyo askofu hakumfanyi mokia kuwa amedharau mahakama
  3. B

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    Ni migomo,maandamano hakuna masomo tena. Chuo kikuu cha Dodoma College of Social Science na Humanities wamegoma kuingia ma darasani tangu ijumaa,kisa wanafunzi wa chuo hawaruhusiwi kwenda Field-amazing!
  4. B

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Hili ni jukwaa la SIASA, haya mambo peleka kwa ma-celebrities siyo hapa. Wenzako tunatafakari bajeti na ndoa kati ya CCM,POLIS, MAHAKAMA na DOLA we unaleta mambo ya BBA,jiangalie bwana!
  5. B

    Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

    Kukamatwa kwa mbowe kumeendelea kudhihilishia utawala kuwa watanzania wako bega kwa bega na Chadema. Hii inatokana na maoni ya watu mbalimbali kulaani na kupinga kitendo cha viongozi wa kuu wa Cdm kukamatwa hovyo hovyo,kimsingi serikali makini kwa kutumia vyombo vyake inatakiwa ipime na...
  6. B

    Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

    Nilikuwa na pita pita kwenye tovuti ya chadema nikaikuta hii............
  7. B

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya Field,maana chuo kimewaambie hawatafanya field bila maelezo ya kutosha.....hadi mda huu njia ya kuelekea...
  8. B

    Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    Mimi ni mmoja kati watu wanaofahamu siasa za Arusha......Godbless Lema ni mmoja kati ya vijana wanao kubarika Arusha tena kwa lika zote...Huyu jamaa anajenga hoja ile mbaya huwezi kum-compare na akina Batilda Salha Buriani AU lyimo. Jamaa anajenga hoja kama akina zitto,slaa,Mpendazoe na wengine...
  9. B

    GE2010 Lolensi Bukwimba hahitajiki tena Busanda!

    Habari kutoka Buasanda zinasema mbunge aliyemaliza mda wake LOLENSIA(CCM) tayari imedhibitika hawezi kushinda kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.....na badala yake wananchi wa Busanda wamejiandaa kumchagua kijana wao FINIAS MAGESA (CHADEMA). Habari zaidi zinasema alishinda uchaguzi mdogo last yr...
  10. B

    GE2010 Finias Magesa yu wapi?

    Magesa yupo na anasubiriwa kwa hamu sana huko Busanda,na kama sheria ya uchaguzi itafuatwa basi uwezekano wa kushinda ni mkubwa sana...tena sana. Kuhusu kushindwa uchaguzi, siyo kweli kwamba alishindwa,Hope unajua mizengwe ya CCM na kama ulifuatilia uchaguzi ule utakumbuka kwamba ilifikia hatua...
  11. B

    Bunge shupavu la Tanzania: Pendekezo la wabunge 2010-2015 list down

    Safi sana Good idea......pamoja na hao pia hawa wafuatao naona ni mhimu sana kwa bunge lijalo 1.MAGESA Finiasi (BUSANDA) 2.DAVID kafulila (KIGOMA-KASKAZINI) 3.KINABO (ROMBO) 4.MREMA (VUNJO) 5.NDESAMBURO (moshi)
  12. B

    GE2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa

    Am sure siyo kweli.......but kama itatokea basi Kikwete atakabizi IKULU
Back
Top Bottom