Elections 2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa

Nani aliwambia kuwa CCM anashinda kwa upigaji wa kura ? EMbu kwanza jiulizeni ,,,Je mnazo au mnayo TUME HURU YA UCHAGUZI ??? Je Mahakama mlizonazo zinafuata ushawishi au tuseme zinafadhiliwa na nani ? Je Vyombo vya Dola polisi na usalama wa Taifa hawa katika chaguzi zilizopita wameonekana kulalia na hata kutumiwa na upande gani ? As Loooooooooooooooooooooooooooong as KATIBA ya nchi ni itokananyo na Chama kimoja ambacho ni CCM ,ni lazima tukubali kuwa usawa katika maamuzi yatokananyo na uchaguzi yanaipa CCM asilimia mia ya kutangaza vile wapendavyo na inajulikana wakishatangaza ndio imeshatoka sasa kwa hisabu hizo unafikiri kuna mtu mwengine au chama kingine kitashinda zaidi ya CCM ,inawezekana safari hii CHADEMA wakaongezwa kugaiwa viti vya ubunge kama walivyozoea na CUF kutopata hata kura moja.
 
Ok, sasa hapo ndio ya kweliiiiiii, siasa si ccm, hata chadema ni chama
 
Alternative Government with Salim A. Salim

President: Salim A. Salim
Vice President: Prof. Baregu
Prime Minister: Wilbroad Slaa
Economy: Zitto Kabwe
Foreign Affairs: Halima Mdee
Constitutional Affairs (Sheria): Tundu Lissu
Local Gvt: Lwakatare...
 
Bolded nina wasiwasi kama utendaji utaenda sawa

Let us trust them and see... if we don't give the young and new blood chance, we 'll remain with CCM corrupt cronies! Tanzanians let us trust change.
 
Mkuu zed i agree with you but watu kama zitto tulikuwa tunawaamini lakini sasahivi tunaanza kuwa na wasiwasi
 
UKIWEZA JINYONGE, UKICHUKIA CHUKIA , UKILIA LIA. LKN HAMNA AWEZAE KUYAPANGUA YA MUUMBA WETU
"JK TU 2010"

:target:
 
Ukifuatilia kwenye vyombo vya habari utahsi kama Chadema itachukua madaraka hata kabla ya 2010 jinsi inavyotajawa.
ukiangalia ndani ya JF Utaona kama Chadema itachukua nchi baada ya uchaguzi jinsi inavyopambwa.
lkn kama utapita mikoa mingi nchini neno Chadema kwao kama almasi ya tanzanite inaopatikana mikoa ya kaskazini na kusafirishwa nje ya nchi na watz wengi kuona kwenye tv.
ndivyo ilivyo chadema, chama ambacho viongozi wake maarufu hawazidi 10 katika masikio ya watz lkn ikitajwa italeta upinzani mkali tz Jee huku chadema sio kidori cha dukani kianchowekwa mlangoni kinachovishwa suti ya gahrama kuwavutia wateja?

Et least hauko peke yako -Anzisha chama basi CCU or something similar
 
Ukifuatilia kwenye vyombo vya habari utahsi kama Chadema itachukua madaraka hata kabla ya 2010 jinsi inavyotajawa.
ukiangalia ndani ya JF Utaona kama Chadema itachukua nchi baada ya uchaguzi jinsi inavyopambwa.
lkn kama utapita mikoa mingi nchini neno Chadema kwao kama almasi ya tanzanite inaopatikana mikoa ya kaskazini na kusafirishwa nje ya nchi na watz wengi kuona kwenye tv.
ndivyo ilivyo chadema, chama ambacho viongozi wake maarufu hawazidi 10 katika masikio ya watz lkn ikitajwa italeta upinzani mkali tz Jee huku chadema sio kidori cha dukani kianchowekwa mlangoni kinachovishwa suti ya gahrama kuwavutia wateja?

MAlaria na wewe anzisha cha kwako upige ukipambe
 
Mzee wetu Mhe. FREDERICK SUMAYE atueleze nini kinaendelea kati yake na viongozi wakuu wa CHADEMA? Ni juzi tu tarehe 16 Juni majira ya sa 3.15 asubuhi maeneo ya Protea Hoteli iliyopo Oysterbay nilimuona kwa MACHO YANGU mheshimiwa huyu akiwa kwenye gari yake aina ya Landcruiser namba T634 AKN akipokelewa na vigogo wa CHADEMA akiwemo Mhe. MBOWE, DR. SLAA na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA BOB MAKANI na kuelekea kwenye chumba cha mikutano. Walijifungia kwenye chumba hicho takribani saa mbili na zaidi hadi mishale ya saa 5.20 hivi asubuhi ndipo kigogo huyu alipoondoka eneo hilo. Uswahiba huu umeanza lini??

Nampa HEKO! Napenda kumweleza kuwa kama CHADEMA wamempenda basi atueleze tumpigie debe kwani hadi sasa CHADEMA haijawa wazi nani atagombea kinyangányiro cha kiti cha Urais mwaka huu wa uchaguzi. Pengine bado CHADEMA wanawinda majeruhi wa CCM??

Rai yangu kwa Mheshimiwa SUMAYE ni kwamba, haki kikatiba anayo inayomlinda katika upigaji na upigiwaji wa kura ila mzee, wenzio wa upande wa pili wanayo taarifa hiyo? Au unacheza rafu?

Namtakia kila lililo kheri kwenye mazungumzo yake kuelekea utekelezaji wa demokrasia.
Kuwa wazi, usijifiche una kila haki.

mimi, Chilomo Chiwale
 
Can you plz convince the forum ya ni kwa nini tuamini habari hii, isije ikawa ni hisia. Wewe ulikuwa wapi mkuu kushuhudia yote haya??????

Huyu JK wenu mnaesema anapendwa, amefanya mambo makubwa, hana mpinzani mbona yeye na wapambe wake wanaweweseka sana? Kulikoni?
 
Mzee wetu Mhe. FREDERICK SUMAYE atueleze nini kinaendelea kati yake na viongozi wakuu wa CHADEMA? Ni juzi tu tarehe 16 Juni majira ya sa 3.15 asubuhi maeneo ya Protea Hoteli iliyopo Oysterbay nilimuona kwa MACHO YANGU mheshimiwa huyu akiwa kwenye gari yake aina ya Landcruiser namba T634 AKN akipokelewa na vigogo wa CHADEMA akiwemo Mhe. MBOWE, DR. SLAA na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA BOB MAKANI na kuelekea kwenye chumba cha mikutano. Walijifungia kwenye chumba hicho takribani saa mbili na zaidi hadi mishale ya saa 5.20 hivi asubuhi ndipo kigogo huyu alipoondoka eneo hilo. Uswahiba huu umeanza lini??

Nampa HEKO! Napenda kumweleza kuwa kama CHADEMA wamempenda basi atueleze tumpigie debe kwani hadi sasa CHADEMA haijawa wazi nani atagombea kinyangányiro cha kiti cha Urais mwaka huu wa uchaguzi. Pengine bado CHADEMA wanawinda majeruhi wa CCM??

Rai yangu kwa Mheshimiwa SUMAYE ni kwamba, haki kikatiba anayo inayomlinda katika upigaji na upigiwaji wa kura ila mzee, wenzio wa upande wa pili wanayo taarifa hiyo? Au unacheza rafu?

Namtakia kila lililo kheri kwenye mazungumzo yake kuelekea utekelezaji wa demokrasia.
Kuwa wazi, usijifiche una kila haki.

mimi, Chilomo Chiwale
 
Mzee wetu Mhe. FREDERICK SUMAYE atueleze nini kinaendelea kati yake na viongozi wakuu wa CHADEMA? Ni juzi tu tarehe 16 Juni majira ya sa 3.15 asubuhi maeneo ya Protea Hoteli iliyopo Oysterbay nilimuona kwa MACHO YANGU mheshimiwa huyu akiwa kwenye gari yake aina ya Landcruiser namba T634 AKN akipokelewa na vigogo wa CHADEMA akiwemo Mhe. MBOWE, DR. SLAA na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA BOB MAKANI na kuelekea kwenye chumba cha mikutano. Walijifungia kwenye chumba hicho takribani saa mbili na zaidi hadi mishale ya saa 5.20 hivi asubuhi ndipo kigogo huyu alipoondoka eneo hilo. Uswahiba huu umeanza lini??

Nampa HEKO! Napenda kumweleza kuwa kama CHADEMA wamempenda basi atueleze tumpigie debe kwani hadi sasa CHADEMA haijawa wazi nani atagombea kinyangányiro cha kiti cha Urais mwaka huu wa uchaguzi. Pengine bado CHADEMA wanawinda majeruhi wa CCM??

Rai yangu kwa Mheshimiwa SUMAYE ni kwamba, haki kikatiba anayo inayomlinda katika upigaji na upigiwaji wa kura ila mzee, wenzio wa upande wa pili wanayo taarifa hiyo? Au unacheza rafu?

Namtakia kila lililo kheri kwenye mazungumzo yake kuelekea utekelezaji wa demokrasia.
Kuwa wazi, usijifiche una kila haki.

mimi, Chilomo Chiwale

Chilomo Chiwale, hii sasa unaharibu, hata kama ni kweli uliyashuhudia hayo, hizo ni faragha za watu, umezileta hapa ili ama kumuharibia, ama kiharibia Chadema, kwani hata kama alikuwa analitafakari ombi lolote toka Chadema, na kabla hajafikia maamuzi, wakasikia limeibukia JF, si ata ghairi?.

Ndio maana kuna wakati mwingine, unasikia jambo, unashuhudia jambo, unalihifadhi mpaka upate uhakika.

Chilomo unawezekana wewe ukawa ni membe wa kundi la manyoka wa TISS, umetumwa kazini kwako kufuatilia, sasa unamfitinisha na Chadema ili kumuharibia mafao yake?!.

Sumaye ni mtu huru kama walivyo wengine ana uhuru wa kukutana na yoyote popote bila kuvunja sheria yoyote, hivi unajua hata Zitto ni rafiki na JK, ukiwaona wanacheka na kutembeleana, sio ndio utalianzisha Zitto huyooo...CCM.

CHADEMA ENDELEZENI MIKAKATI, SYSTEN ON OPARATION MPAKA NDANI YA JF!
 
Huyo Chilomo hana makosa kwani tayari Chadema walishatamka kuwa mgombea wao wa urais ni maarufu kwa rushwa kuliko wa CCM!Hapo hakuna ubishi,sasa hatujuhi ni kweli huyo jamaa aliyetajwa na Chiomo kuwa ndiye mgombea wa Chadema japokuwa sina hakika kuwa yeye ni mla rushwa!
 
Chilomo, karibu sana jukwaani nimependa style yako uliyoingia nayo hope tutakuja na mengi zaidi. karibu sana

Ngoja ni kugongeeeee big senkyu.
 
chilomo, karibu sana jukwaani nimependa style yako uliyoingia nayo hope tutakuja na mengi zaidi. Karibu sana

ngoja ni kugongeeeee big senkyu.

thank you mganyizi kwa kunipa moyo kwani nilishaanza kuogopa kuwa huenda nimekurupuka pia sina haki ya ku share yale niliyoyaona.

Naamini jf ipo kwa ajili ya kujuzana. Najifunza pia. Nimeshakaribia.
 
Back
Top Bottom