Kutoka bungeni: MAJIBU YA HOJA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Lukuvi sera na uratibu anatoa majibu..Ametaja kiongozi wa dini mmojawapo anayejihusisha na madawa ya kulevya na amesema watawapa na video zaidi!..kanisa lipo dar na lina branch mwanza,arusha. pia lina branches marekani,nigeria!
 
ameongelea pia kukamatwa kwa akina mbowe kwamba bunge halikuwa na la kufanya kwani ilikuwa amri ya mahakama na wengine kwa Vvurugu
 
amempa jibu lowasa kuwa kupunguza ukubwa na majukumu ya wizara ya waziri mkuu au muundo wa wizara yoyote ni kazi ya raisi kutokana na katiba iliyopo..hana jibu zaidi ya hilo.
 
na kutoa misaada mbalimbali ya chakula..ametoa kijembe kuwa 'maandamano' ya ccm ni kuleta maendeleo..amewaambia wananchi km wakija wakaribisheni na chakula muwape..kama barabara mbovu itengenezeni wapite!

thts all for now nimejaribu kudonoa baada ya umeme kurudi bila kutegemea kama muujiza na ckuona thread yoyote kuhusu hili, jioni saa 11 Pinda atatoa majibu na majumuisho
 
Upupu tu hapo, sidhani kama ametatua matatizo ya msingi ya mtanzania hata mmoja.
 
Back
Top Bottom