Ujinga mwingine bunge ndio Wizara ya Elimu na Mafunzo! Nchi hii kila kitu ni siasa tu!
Siku mabomu ya kutoa machozi yatakapoisha hawa askari watatumia ya jeshi maana wao kila kitu ni mabomu tu na maji ya kuwasha .Hivi jeshi la polisi hawasomi saikoloji huko vyuoni ya namna ya kumaliza vurugu kwa amani?
Kesi ya nyani anapelekewa ngedele!!kwenda bungeni kwa madai ya kwenda kwa Pinda, Nahodha na waziri wa elimu kudai kwanini wamewadanganya?? ....
aliimba Sugu "itafika wakati sitojali na pingu nitaona bangiri ndipo wote mtaona sina akili ya kufikiri, afande ataniita nitakataa kusimama, mikononi mwa polisi ni salama, sasa mbona siyo salama, mnatangaza kiama", naomba tusifike hukoyaani katika somo ambalo polisi wa Tanzania hawajui ni Saikolojia.... yaani wao kweli wanajua kutumia mabomu na risasi za moto tu...ipo siku tutakuwa manunda.... anapigwa mtu risasi anadondoka unamruka unasogea mbele kukabili polisi.....
Sadly, siku hiyo haipo mbali sana....yaani katika somo ambalo polisi wa Tanzania hawajui ni Saikolojia.... yaani wao kweli wanajua kutumia mabomu na risasi za moto tu...ipo siku tutakuwa manunda.... anapigwa mtu risasi anadondoka unamruka unasogea mbele kukabili polisi.....
Umma unapodai haki yake, kihistoria dola haijawahi kufanikiwa kuwazuia. wabunge wanajadiliana kama wachukue posho au la over their salarie, wanafunzi hawana pesa ya practical training. This is next to impossible.