bidada, plz plz plzzzzzzzzzzz, akili kwa mkichwa, hao jamaa hatari saanaaa, in short,we should be very very carefull na foreigners hasa wa kiafrika. dada nakushauri, mwambie jamaa mkapange nyumba hata kama mtashare kulipa kodi its okay, nyumba yako pangisha uongeze kipato chako. nakushauri kuwa...