Ulaji wa primary! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulaji wa primary!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ernie, Oct 27, 2010.

 1. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Je unakumbuka ulivyokuwa ukila primary miaka ya 80z n' 90z?

  Kalimati
  Bagia
  Ashkilimu
  uji wa mchele
  N.K
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Nakumbuka bagia tu kati ya hizo, kijijini kwetu Ice-cream ilikuwa haijafika wakati huo, kwetu ilikuwa bakuli la kunde, muda wa mapumziko kulikuwa na wamama wanauza bakuli la kunde na togwa. Hahahahahha, CCM inataka turudi tena huko?
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Mkuu hapo naona umesahau,
  Ufuta
  Mabumunda
  Sambusa za viazi,
  Half keki,
  Kashata,
  Mihogo ya kukaanga aka misuba
  Kaukau,
  Ubuyu,
  Ubuyu wa unga.
  Mabungo,
  Mengine nimesahau nitaongezea nikikumbuka.
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mmesahau BULGA- Lile ngano la US miaka ya 70s
   
 5. b

  bahati stanz Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahhaha.....me nakumbuka sambusa za choroko mzazi na mahindi ya kukaanga yaliyolowekwa na kuwekwa sukari, tamu hiyoooooo, mate yamenitoka
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!unanikumbusha mbali sana!
   
 7. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Kashata za Ufuta, yan zimewekwa full sukari.
   
 8. L

  Linababy Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanangu nimekumbuka mahindi ya kuchoma na kukaanga. tulikua tunaenjoy coz hatukuwa na alternative.
   
Loading...