Wana C.C.M Msimpe Kura Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana C.C.M Msimpe Kura Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Oct 25, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia kura Kikwete. Kura kwa kikwete ni ya Makamba na kundi lake la mafisadi. Ninavaa Sare za CCM lakini kura yangu ni kwa DR. Wilbroad Peter Slaa wa Chadema. Simpendi Mbowe wala Zito, lakini Dr. Slaa lazima nimpigie kura hata kama nimevaa Nguo za Kijani. Huyu ni mkombozi wa Tanzania aliyeletwa na Mungu. This is another version of Nyerere!

  Wana CCM wenye uchungu na nchi, sambazeni huu ujumbe, kila mmoja amwambie mwenzie, ukiwa nje ya nchi piga simu nyumbani kwenu uwaambie. Dr Slaa ndiye Rais. Mkwere akaangue nazi, awachezeshe wanae ngoma, amekumbatia mno ufisadi. Damu za watanzania waliokufa na umasikini zimrudie Kikwete, laana zote zimrudie ili watoto wake wote wabwie unga kama Miraji, na vitambi kama Ridhiwani. Makamba naye watoto wake wote wawe waropokaji na vilaza kama yeye. Mwamvita auze sura hadi hawe kichaa, ndio watatambua kwamba kuwaibia masikini siyo kitu kizuri, kina kikomo chake!

  Sheikh Yahya awasaidie wakakutane na mabikira 72 ahera. Familia ya makamba na Mkwere Kikwete, walaaniwe kwa jina la bwana
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mhh itakuwa ngumuu!ni dr kikwete kwenda mbele!Hizi laana zako hazimpati mtu, subiri ushindi wa kishindo!Na acha uchochezi
   
 3. minda

  minda JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hiyo ya kumpigia kura mkono dr ws nakuunga mkono 100% mkuu fisadi origino.


  haya hivyo laana hizo kwa kikwete, familia yake, marafiki na jamaa zake naomba sana mkuu ujirudi kwani ni laana kali sana.


  najua una uchungu kutokana na jinsi kundi hilo linavyoongoza nchi yetu, lakini kumbuka nao tunawahitaji wafanye toba ili nchi yetu iwe kama ile aliyoahidiwa musa.


  mungu ibariki tanzania.
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Fisadi Originol tutakuunga mkono ukiondoa hizo laana unazombea binadamu wenzako lakini kwa mustakabali wa taifa tutampa kura Dr Slaa
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mbona wana sisi m wengi wameshakubali kumtosa? Ninao ndugu zangu ambao ni wana sisi m damu na wameshaniahidi hawawezi kutoa kura zao kwa kikwete
   
 6. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huu ni wito kwa wana C.C.M wenzangu katika kipindi hiki cha kampeni, nawaombeni tuwe wanafiki Katika nyanja zote ila ikifika October 30 KURA ZOTE TUNAMPA DR. SLAA bila kufanya makosa.

  1. Wakitupakia kwenye magari, poa tu tunapanda ila kimoyomoyo tunasema Kikwete hatufai
  2. Wakitupa elfu tano, tuchukue kwa kificho ili TAKOKUU wasitunase maana sheria inasema anaetoa na kupokea Rushwa Wote ni Wakosefu mbele ya sheria.
  3. Wakiwapeni chumvi, ninyi chukueni ...ila mnajua tutampa KURA ZETU DR. Slaa
  4. Wakileta Bendi ya Wanamuziki wenye njaa Mnajichanganya tu kama mimi ninavyofanya, ila Tar 30 October Tunajua Dr. Slaa ndiye tutampa KURA
  Wana CCM wenzangu tufanye hivi ili kulinda maslai ya Taifa letu, na sio maslai ya familia za kina Makamba, Kikwete, Kinana nk
   
 7. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Safi iyo mana;
  chadema"chama cha maendeleo" ni chama cha watu wenye hekima, busara, elimu......
  ccm"chama cha malimbukeni" ni kwa watu wenye maamuzi ya kukurupuka na wasiojua wanafanya nni
   
 8. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  hongera mkuu kwa busara
   
 9. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  payuka,
  Hiyo tarehe 30 ya kupiga kura za nini?
   
 10. b

  bahati stanz Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gud idea.....! bravoo
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ni mtu mpumbavu tu ndiyo atapigia CCM Jumapili 31.10.2010
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kikwete na Familia yake wanahaki ya kumpigia kura baba yao, kwakua anawapa Ugali.
  ila WaTanzania woote wenye akili Timamu, ni jambo baya na laana kumpigia kura huyu Mkwere, amedhihirisha kuwa ni mleta mizaha tuliyemkabidhi Ikulu.
   
Loading...