Halima Mdee: Bold and Beautiful!

Halima Mdee: Bold and Beautiful!

yote yaliyotukia jana katika jimbo la kawe tuliona;
  • jinsi umati ulivyojitokeza kumpa sapoti dr ws na halima mdee
  • jinsi watu walivyochoka na unafiki.
 
mh jamni semeni ukweli huyu dada kidogo atakuwa aliwahi kuonja tudawa twa kulevya...
 
mh jamni semeni ukweli huyu dada kidogo atakuwa aliwahi kuonja tudawa twa kulevya...

JP,
Utakufa na kijiba cha roho - hii yooote ni wivu wako wa kijinga, katafute pengine pa kukashifu lakini si kwa IRON LADY huyu si saizi yako wala watu wa aina yako.
 
Lile jimbo la CCM, na wamemwaga posters kila kona, kila mti mpaka kwenye mitaro ya maji machafu. Halima hawezi kushinda.

Posters hazina lolote - mimi binafsi nikiwa safarini weekend (bagamoyo) ambako posters zimeshamiri - na vijiji nje kidogo ya Bagamoyo - zimewekwa kwenye nyumba, minazi eti na nyingi mno - lakini nilijaribu kumdadisi mzee mmoja nikwamwambia naona huku wote ni ccm?? akajibu "lo! sasa hivi akili kichwani, usidanganyike na mapicha haya, kila mtu ana akili yake - tumechoka sana - akalalamika hasa kuhusu shule kuwa mtoto akikosa hata shs. 500/ anarudishwa - sasa ccm ya nini? Akaongezea kuhusu hospital na kero za maji" -

KAWE HALIMA ANACHUKUA - TENA KIULANI .............. WATU WANAMSIKILIZA SANA KWENYE CAMPAIGN ZAKE NA WANAKUWA WENGI MNO - HANA RUSHA ROHO WALA NINI - YEYE TU - ANAKUBALIKA............................. KWANI KAWE CHADEMA (SLAA) ANAKUBALIKA PIA SO....................HALIMA KURA NI ZAKE - TUNAAMINI HIVYO................... SERA ZAKE ZA UHAKIKA PIA ANAZO

SHE IS NOT ONLY BEAUTIFUL, BOND AND COURAGEOUS BUT SHE IS ALSO INTELIGENT TOO!

HALIMA KAZA BUTI MAMA - TUKO NYUMA YAKO --


 
Nimemsikia mwenyekiti wa NCCR wanaomba Dada ajitoe, baada ya kupotezwa kabisa na ujio wa Dr slaa pale kawe!.
 
Nimemsikia mwenyekiti wa NCCR wanaomba Dada ajitoe, baada ya kupotezwa kabisa na ujio wa Dr slaa pale kawe!.
 
nadhani ni mzuri kisiasa(achana na mengine)... anaongea... anasikika (labda sababu wabunge wewngi ni wafukuza mafungu tu)...!!
Lakini ni vema tuangalie ni kwa kiasi gani hoja zake zimeleta mabadiliko na yakaonekana... si ilimradi anajua kuongea bungeni tu!!

Mwenzake Slaa ameibua mambo yanaiumiza Chama tawala kila kukicha!
 
mh jamni semeni ukweli huyu dada kidogo atakuwa aliwahi kuonja tudawa twa kulevya...

inaonekana wewe ni mtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya kiasi ya kuweza kumjua mtumiaji kwa kuangalia picha yake tu.unahitaji ushauri nasaha iliuache kubwia unga
 
ACHENI MAMBO YA SIASA NA DEBE,ningependa kujua ameolewa?
Na je kama ameolewa anaishi vipi na mumewe?Je anafamilia?
Baada ya hapo tujadili sasa uwezo wake kiuongozi

Mbona wewe ndo unaleta siasa!!!?
Maisha yake binafsi yanakuhusu nini? Kama vp anza wewe kuanika majibu ya hayo maswali ulouliza
ikiwa unaona ni ya msingi!
 
She deserves the win!!! I love her so much, ni mpiganaji hasa, nampenda, nampenda, nampenda. najua utashinda!!! all the best cute...
kama wangejua atashinda wangefanya uchaguzi wa viti maalum ila wanangoja ashindwe wampe viti maalum..kazi kweli kweli utaona kama nadanganya....
 
Mbona wewe ndo unaleta siasa!!!?
Maisha yake binafsi yanakuhusu nini? Kama vp anza wewe kuanika majibu ya hayo maswali ulouliza
ikiwa unaona ni ya msingi!
muhimu kujua mbunge anayegombea maisha yake bwana,,yanajulikana naRAISI MTARAJIWA KIKWETE SEMBUSE Mdee?
 
sasa mambo yake na mbatia yameanza kutaka kuelekea mahakamani.
mbatia ameeleza nia ya kukishitaki chadema na tamwa alipwe sh.5bn jumla na kuombwa radhi kwa sintofahamu ya kudaiwa 'kunyanyasa wanawake' na kudaiwa kuitwa mamluki wa chama tawala (respectively) iliyoonekana kumuumiza mbatia.

aidha akadai chama chake kuitwa nccr-manunuzi.

kwa upande wake mdee alipohojiwa kwa njia ya simu (tbc1 live) akadai mbatia amekuwa akizusha kwamba yeye (mdee) amejitoa kwa kile kinachodaiwa kushinda kwenye viti maalum.
 
Back
Top Bottom