St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Rafiki yangu mngoni alinielekeza kwake ili siku nikitembelea maeneo yale nimsalimie.maelekezo yenyewe sasa,pali pali kumpitimbi nyumbi hii bombi hii utikuti jogoo mweupi anikunywi maji basi ndio umifiki(palepale mpitimbi nyumba hii bomba hili utakuta jagoo mweupe anakunywa maji basi ndio umefika).Siku nilipotembelea maeneo yale nikakuta jogoo amechinjwa na mimi nikapotea njiaeep:.