Elections 2010 Kikwete naye awatukana CHADEMA?

There are currently 100 users browsing this thread. (20 members and 80 guests)


hivi nyie 80 hamna ID humu? au ni uoga na unafiki
 


Wadhani pia ntamlaimu sana JK? kwani lawama nyingi ntazipeleka kwa Campaign Manager wake Kinana kwani yeye na jopo lake ndio lapaswa kumwambia JK hapo no na hapo yes,


Wao wakakimbia kutuma barua tume kuwa hawa wametutukana huku JK nae anatoa matusi kama musemavyo kuwa nae katukana.
1: Asiye Funzwa na mama yake atafunzwa na ulimwengu
2: Ni genge la majuha na watukanaji

NEC wanala kujiridhisha kwa kauli hizo mbili au Itawachukua Muda nao kuchakachua? Au watatupilia mbali malalamiko hayo.

Mkuu najaribu kufikiria sakata hili zima na jinsi ulivyo yaainisha hayo unayo yaita "matusi" mawili, ya jk na dickson,
hilo namba moja mbona sio tusi analo tuhumiwa nalo, hebu liweke katika uhalisia wake jinsi alivyo litoa hadi likawa tusi, kusema tu asiyefunzwa na *****............. itaonekana ni methali tu
 
nimekutana na mtu aliyehudhuria mkutano wa JK jana huko mwembe yanga, anasema majibu kwa JK yatapatikana J2. Kwamba watamuonesha juha ni nani
 
Kama Chadema ni genge la majuha, basi CCM ni genge la wapuuzi,walafi, wazinzi, washirikina,mafisadi,MATAAHIRA, ndiyo maana mwenyekiti wake anaanguka anguka na kuzimika kama yule mdudu KIFAULONGO.
 
kwani jamaa alisema nini exactly..mpaka imeshikiwa bango kiac hiki..ukisoma gazeti la ccm la kiingereza la leo..yaani daily news..maoni ya mhariri na barua toka kwa msomaji..ni vichekesho..hivi huyu editor wa daily news..hajui kuanzia jumatatu boc wake atakuwa Dr. Slaa...!
 
Back
Top Bottom