Recent content by baha

  1. baha

    Hivi, kati ya Magufuli na Nape, nani mtoto wa mjini na nani atabaki mjini?

    Akili mgando sana ndugu wewe. Hivi mjini unakokusema ni kukaa Dar. Mie nilifikiri unaongelea matumizi ya akili. Basi kwa akili yako walioko mjini ni ulaya na marekani tu . Huwezi kujadili mtu yuko vile au hivi kwa kigezo cha mahali alipozaliwa. There are so many factors to that. Wewe mwenyewe...
  2. baha

    Serikali ya Tanzania Haiwezi Kuendesha Uchumi Wala Biashara

    Uzi mzuri sana huu. Nashawishika kusema kuwa mleta mada naye ni msomi pia. Ametoa changamoto nyingi na zakweli tupu. Our elite group has not done enough to the public. Japo hajagusia pia kuwa watawala na watunga sera nao yabidi wawe tayari kupokea na kufanyia kazi yatokanayo na mijadala na...
  3. baha

    TCRA website ina virus infection?

    Mkuu mbona natumia iPhone website inafunguka vizuri tu. Labda mashine yako tu.
  4. baha

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Hivi kusema tu nilisoma sengerema secondary school form one to four na baadaye ikizu secondary school form four to six kuna shida gani? Viongozi wetu wanashida sana hawa. Ukiwa kiongozi wa umma lazima ufuatiliwe. Makonda atakuwa na tatizo huyu.
  5. baha

    Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

    Jamani lazima kujua kwamba elimu yetu inapima kwa mtihani wa mwisho tu, hiki kitu siyo sahihi maana inategemea sana mtu gani kalala na kuamukaje siku husika ya mtihani. Mie nadhani T.Os wa uhakika wanapatikana kwenye matokeo ya kuhitimu bachelor degree kwa maana ya inclusive results...
  6. baha

    Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    Kwa UDSM kujulikana na mabibi umeshangaa nini? Wangapi ya mabibi haohao wanajua CCM tu hapa Tanzania ndo chama, tena inawezekana wanajua kwa jina la TANU. Ningependa kama wewe ni msomi u-argue kwa ku-connect hizo dots. Usomi wa kutofikiria kwanza kabla ya kusema ni aibu. How Universities did...
  7. baha

    Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Urais kwa hakika ni taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ya kiutendaji katika nchi yetu. Kwa mawazo yangu, tuki-assume kwamba CCM watatoa rais (which is POSSIBLE) basi bora awe Lowassa maana anaroho na uwezo wa kuthubutu kuamua na kutenda. Ukweli ni kwamba sote tungependa kuwa na rais asiyekuwa...
  8. baha

    World University Rankings 2014-2015

    Kwa bahati mbaya hakuna any East African University hata kwenye 400 bora!
  9. baha

    Tetesi: UE kwa UDSM, 28/6/2011

    Meneja wa kitu gani wewe? Unajua tatizo lenu wanafunzi mnadanganyana sana mkiwa huko vyuoni utadhani wasomi ndo kwanza mnakuwa wenyewe! Tabia hii ipo tangia kwa form 2 mpaka chuo sijui kwa nini! Acha majigambo ya umeneja wewe, soma theories kwanza ukimaliza kubali ufundishwe kazi kabla hujaota...
  10. baha

    Elimu ya tz vs elimu ya nje ya nchi

    Mkuu sijaweza kukubaliana wala kutokubaliana na wewe kwa sababu tu hujasema imani gani unazungumzia! vyuo vinafundisha vizuri na hivyo kila mwanafunzi anaelewa vizuri? wachapa kazi? Mie nadhani lazima hiki kitu kama mwajiri anajua anachokitafuta kwa applicants ataangalia vigezo ambavyo mara...
  11. baha

    Laptop haiwaki kudisplay anything.

    chomoa betri na urudishie tena itadisplay I hope. Niliwahi kukutana na tatizo hilo kwenye laptop hiyo hiyo lakini baada ya kutoa na kurudishiwa betri iliwaka mpaka leo.
  12. baha

    Bei ya projector

    ninayo mpya nilinunua mwezi huu mwanzoni.....TZS 1.7mln aina ya Epson
  13. baha

    Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

    Hata Bangladesh jamani! naona Africa ni kichwa cha mwendawazimu
  14. baha

    Mhadhiri udom mtegoni

    nimeuliza pia upande wa pili hujajibu: Inapotokea wanafunzi wote wamefaulu kwa alama sawa, maana inatokea katika vyuo vyetu, iweje? au hiki ndo watu wanataka kusikia?
  15. baha

    Mhadhiri udom mtegoni

    Kufeli ni subjective sana na inaweza kutafsiriwa kwa namna nyingi zote sahihi. Mfano unaposema 25% unamaanisha nini? kikubwa tunaofundisha tunajua lazima katika kila course mwisho wa siku kuna "normal distribution". At least this can be a scientific measure in most instances kuliko hiyo...
Back
Top Bottom