tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
jf burudani tupuhaya kijana, acha jazba! Tayari tumeshajua unasoma udsm
jf burudani tupuhaya kijana, acha jazba! Tayari tumeshajua unasoma udsm
Ngoja nitafute picha nyingine Mpwa, naona kama vile sijui nini vilekuulizia UE huku jamii forum ni uvivu wa kufikiri, chuo kina prospectus, kina website, una classmates wote hao huwezi kuwauliza? enzi zetu tukiwa chuo lazima utajua kila kitu kwani wanabandika kwenye bao za matangazo pale DARUSO,UTAWALA,FOE-COET,nk kote huko hujaona?? unahuduhuria masomo kweli ww? au ndio mtaalamu wa kudesa? Humu Jf ujue kuna watu wazima wameshamaliza masomo miaka mingi wanahitaji kujua mambo ya maana na sii mambo ya kusadikika.
Meneja gani anayeshangaa hivyo!! We bado ni mwanafunzi tu, ebu fatilia ratiba ya UE unapoelekezwa hacha kiburi vinginevyo wata ku-disco kabla ujaingia ata kwenye chumba cha mtihani.
Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!
Tatizo hujui unalolionge! Je unajua maana ya grapvine kwenye organization yoyote na umuhm wake kwa managers? Kama hujui kaa kimya siyo lazima na ww uonekane umeandika kumbe huna unachokijua!
''An article of no commercial value''Jitahd kuwa makini na kila litokalo kichwan mwako! Unaweza kuwa na mambo mengi kichwan lakin yote yakawa pumba. Kujua siku ya kuanza mtihan ndo kuwa mgeni wa chuo? Je nn maana ya tetesi? Jiangalie ww, kama huna jibu, kaa kimya!
umenikumbusha FOE(Faculty of Engineering) miaka ya tisini, duuuu....bila kusahau drawing board, calculator na over-coat....umenikumbusha mbali, karibu mahenge mkuu!Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
ana wazimu hasa huyu kijana, umekuja kuringishia ka elimu kako ka juu huku, hapa kaazi ratiba notice bord udsm! Kwenda zako Mkosa mawanda weeh!the romours has it!Hizi ni tetesi zilianzia tbs,zikashuka msapuni,zikarudi mdegree,zikaaenea mabibo,kampas na sasa zimetia miguu jamii forum. .ukweli ni huu,CASS time table cordinator Dr.Lymo juzi kasema hizi ni bigtym crap,so UE ni kwanzia tarehe 11 july.2011. .guys kueni na behaviour to take a glance on the noticeboard!,au ulize the respective area,huku JF ndo ofisi za udsm zilpo au kutafuta sifa.
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
aya mambo yanabaridirika anytime,provided mkandala na wenzake waameamua,na kwa sababu za msingi.Semista= siku 120, lectures= 30hrs, 2hrs/week, Seminar=15hrs, 1hr/week. Sasa wakibadili muda, baadhi ya modules hazitasomwa. Huo ndo uelewa wangu.
manager wa baa? Club?au duka?twambie bana,au ni manager wa sisimizi bar?Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!