Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

Hivi kusema tu nilisoma sengerema secondary school form one to four na baadaye ikizu secondary school form four to six kuna shida gani? Viongozi wetu wanashida sana hawa. Ukiwa kiongozi wa umma lazima ufuatiliwe. Makonda atakuwa na tatizo huyu.
 
amekuwa mkali eti? huenda ni kweli amebeba makaratasi ya watu,mnaotafuta feki hii hapa nyingine, lakini manji kama anatatizo la madawa sheria ichukue mkondo wake.
 
Abadili jina wakati mwenye majina yake yupo na yuko hai hiyo ndio shida mwaka mmoja jina moja cku moja mfanye mtihani mmoja co kweli lazima hata jina la 3 litofautiane ulinzi kwa mwenye cheti chake uimalishee wasije wakamuukimboka bure
inaezekana ila naye ana akili kupata matokeo mazuri ni dalili tosha....

ameona mengi
 
Sasa kacheti ka form four kana propadanda gani?? Siunaonesha tu mambo yanaisha.
Swala LA elimu kama kiongozi lazima umepiga shule vyeti sio issue.
Tatizo viongozi wetu elimu zao janja janja nyingi. Ndy maana hata zoezi LA uhakika wa vyeti halieleweki limelenga kitu maana mkaguzi nae anatakiwa akaguliwe.
Wananchi wamesoma kuliko waongoza nchi hii ndy Tanzania
 
Kiongozi yoyote awe tayari kuhojiwa hata vyeti vya ndoa au chochote kinachohusu maisha yake ambayo iko katika CV yake. Kama Makonda hataki aache uongozi arudi kukaa mtaani kama alivyokuwa anazurura kabla ya Bunge la Katiba
 
Hili gazeti limejipa kazi ya kusafisaha wauza madawa ya kulevya
Ndivyo unavyojidanganya? Watanzania wangapi wamehakikiwa na kupewa majina ya dharau? Mbona mwigulu na kigwangalla waliambiwa hayo maneno kabla ya hizo dawa? Sababu mtoto wa pekee kaguswa inaonekana ni madawa
 
Back
Top Bottom