Mhadhiri udom mtegoni

25% or more ya idadi ya wanafunzi walifanya mtihani. Siongei siasa hapa hii ni method imefanyika sehemu nyingi duniani and it works. Waalimu nao I think huwa wanatoa evaluation report every year dhidi ya ufundishaji wao, na kama hii haifanyiki nadhani inatakiwa iangaliwe.Huwezi kutatua tatizo bila ya kupata maoni ya pande zote. Na huwezi kuboresha kitu kama hujui ni wapi hasa kunahitaji kuboreshwe. Kwa bahati nzuri mwaka jana nilikaa na baadhi ya wanafunzi wa law school toka chuo fulani and it was shocking to me waliponiambia idadi ya wanafunzi wanaorudia mtihani (nearly 40%). To me either, entry qualifications zina matatizo, au ufundishaji una matatizo, au wanafunzi ni wakarofi!!

Hata hivyo malalamiko ya lecturers kwa baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini kufelisha wanafunzi hayajaanza leo. Na wanaokusanya hizi questionnaires ni special body inashughulika na 'education quality ya chuo husika'.

Hizi habari zingine za 'one size fits all' I am not sure what you are talking about but I hope I have clarified my point.

nimeuliza pia upande wa pili hujajibu: Inapotokea wanafunzi wote wamefaulu kwa alama sawa, maana inatokea katika vyuo vyetu, iweje? au hiki ndo watu wanataka kusikia?
 
kijana piga shule, hii jf tuachie sisi. huo mda unaopoteza hapa jf kwa kueneza majungu badala ya kusoma mtaukumbuka mkirudi mtaani. sijaona point ya maana katika thread yako. kama unahisi shule haiendi karibu kwenye siasa, ntakutumia ratiba ya maandamano wiki hii
 
Back
Top Bottom