Grade Point Average
New Member
- Oct 20, 2014
- 4
- 1
Mungu ibarki Tanzania
una akili sana kijana! Kwa hilo tu elimu ya kibongo ipo vizuri sana, kitakupa gamba utatafuta cha kulifanyiaWatajua wenyewe. Ninachojali ni kupata ka degree kangu na kupata kazi mkono uende kinywani
Ni vizuri uwe unatutajia viongozi ambao ni mifano ya kuigwa ktk demokrasia na sio kila unayemtaja ametokea msituni. Hiyo inaonesha ndio chanzo cha matatizo hata TZ maana kinaandaa viongozi wabinafsi mno mpaka hata katiba hawapo tayari kuona inakuwa ya wananchi.Chuo ambacho kimetoa viongozi wengi maraisi,wakubwa wa serikali mbali mbali america ni Yale Univercity Kwa Africa ni UDSM ikifuatiwa na Makerere.UDSM inajulikana kama YALE of Africa kwa kuzalisha viongozi wengi wakubwa kuliko chuo chochote africa kama hujui.Hadi akina JOHN GARANG,MUSEVENI n.k wamepita hapo.Wengi walikuwa groomed hapo kuwa viongozi au walipokuwa walimu hapo wakafundwa wakatoka hapo viongozi.Usilolijua litakusumbua UDSM is a YALE OF AFRICA
kipo namba 0, juu kidogo ya namba 1Street University ni ya ngapi kwenye rank mkuu?
Ni vizuri uwe unatutajia viongozi ambao ni mifano ya kuigwa ktk demokrasia na sio kila unayemtaja ametokea msituni. Hiyo inaonesha ndio chanzo cha matatizo hata TZ maana kinaandaa viongozi wabinafsi mno mpaka hata katiba hawapo tayari kuona inakuwa ya wananchi.
Tanzania tunaelekea wapi?Kwa bahati mbaya hakuna any East African University hata kwenye 400 bora!