Kwa kuanzia unaweza kujenga mabanda ya uweani ya uhakika na ni modern 3 room kitchen one living room
na ukipata pesa zaidi utaanza nyumba kubwa kwani bora uwe na kitu kidogo cha uhakika kuliko kuwa na kitu kikubwa ambacho hakijakamilika , wakati huohuo ukatumia kiwanja chako cha mbele...
sidhani kwanba hizo data zako ziko sawa , na kushangaza hiyo TIB unasema ni 5%, tanzania hakuna benki itakayokupa chini ya riba asilimia 10 na hii ukikopa kwa USD , kwa Tsh mkopo unakwenda kwa riba ya aslimia 14 , CRDB, NMB , EXIM , NBC
huu ni ujinga mtupu na kweli nadhani kuna umuhimu tuandamane siku moja tuanzie mnara wa uhuru hadi ofiis wa bunge ya dar na tupeleke malalamiko yetu kwmab baada ya uchaguzi wa 2015 wasichaguliwe tena hawa wabunge wa viti vya upendeleo ,
hili jina la UPENDELEO tuu linajieleza ,
sina pingamizi na elimu yake kuwa mwana sayansi wa nuklia , darasani watu husoma 1+1>2 lakini ukishatoka darasani unatakiwa uifanye 1+1 > 3 kama ulisoma kwa kupata cheti hii test ya nje ya darasa wala hutakuwa na umuhimu nao .
hili ndiyo tatizo kubwa la wasomi wa Tanzania...
matrekta yamepunguzwa bei sio kama suma jkt watapata hasara ni serikali ndiyo imetowa amri hiyo na serikali itawapa pesa suma jkt
za kuongezea kuna msamaha wa kodi zote kwenye matrekta haya , hii njia moja inayofanywa na serikali katika kumwezesha mkulima kulima zaidi , kama mbolea...
WASILIANA NA MIMI NIKUSAIDIE MIMI NILIZULUMIWA GARI YA USD 20,000 NILIKWENDA FOREIGN HAKUNA KITU WALINIAMBIA NIFUNGUE KESI KWENYE MAHAKAMA YA KIBIASHARA , NILIPANDA NDEGE NIKAENDA HADI NYUMBANI KWA OWNER NIKAMTEKA NYARA MKEWE HADI POLISI WALIPOKUJA , BOSI ALITITOWA GARI NA KULIPA HOTEL...
vijisenti aliweka pesa zake uk one million pound zikiendeleza uchumi wa wazungu wakati wamatumbi wanakoeshwa kwa riba yaaslimia 16 , alichofanya mkono ni uzalendo hata pesa iwe imetoka wapi , iliwasaidia wazalendo , VIJISENTI & CO , MAPESA YAO WAMEIBA NA WANHONGA KWENYE CHAGUZI TUU,
ninauhakika na utaalamu wake amesome na kufuzu kwenye sekta hii ya nuklia zaidi miaka 15 iliyopita ,
LAKINI WATAALAMU KAMA HAWA TUNAO WENGI KWENYE NCHI YETU AMBAO HAWANA MANUFAA YOYOTE ZAIDI YA KUTUNDIKA VYETI VYAO UKUTANI NA KUONESHA PICHA ZAO ZA GRADUATION !!!!!
tangu alipomaliza...
Hizi tractor ni nzuri n a bei ni powa sana , mimi huzikodi kutoka kwa watu , hivi sasa 2 ziko kazini kwamiezi 2 na nitamlipa kila mwezi sh 3million diezel kwangu chakula kwangu , service na dereva kwako lakini iwe ya 4 wheel drive , kwa bei hii nitakwenda kununua 2,.
wabongo muache madongo huyu ni mzalendo halisi anayehitajia kutunukiwa nishani ya kujitolea kwa taifa letu huyu ni mbunge pekee Tanzania aliyweza kuchangia maendeleo ya jimbo lake kwa pesa zake ,
WABONGO MTU AKITOWA KWENYE JAMII LAZIMA MHOJI NA KUMBANDIKA VYEO VICHAFU ,JIULIZENI...
nimefanya kazi karibu sana na maalim seif hamadi rashid
nadhani hamad rashid hajisikii vizuri ndani ya chama kwa vile hajawekwa mbele kama jusa ismail na , hakutafakari pale aliposimama mbele ya jukwa na kumkashifu maali seif , kama maalim seif alikuwa anazorotesha chama hamadi...
AMKENI WA BONGO NA MUANZE KUFANYA KAZI SIO BLA BLA , NI HAKI YAO WACHINA KULETA HAO WATU ,engineer wa kichina analala ndani ya container camp mshahara wake ni usd 500 mbongo anataka million plus GARI na weekend hayupo porini , wameshaajiri wabongo wamechoka ukiona hivyo , hivi kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.