Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

This man is retainer attorney for the Bank of Tanzania. The Legal head of Bank of Tanzania hires him! This man advised the late governor of the Bank, Daudi Balali to NOT obey any rulings/judgements of the highest court of the land, the Court of Appeals in the longest running, most expensive legal suit in Dar's history.

Today, the socalled invalid, UNCONSTITUTIONAL case is a special project of few TZ officials & their friends. NOone cares to stop it bcz its THEIR cash generating machine. Case is allowed to continue so pockets of the project team fill up! This man got paid more than the decretal amount! There is an independent report that exists which has all the information of the case, commissioned by the BoT before Daudi Balali died. BUT that report NEVER reaches the current AG's desk! SO an invalid, Unconstitutional case continues..the ongoing 20 year DAYLITE ROBBERY continues. Costing the nation and looting the people!!!

There are lawyers in this world who have no ethics. OR code of conduct. YES, there does exist such a thing as ethics in the law profession.
 
Billioni 90 my A***, hiyo ni dola millioni 56. Labda kama hizo kuta ni solid gold.

Unajua kwa standards za kujenga shule moja rough estimate ni 15 million USD

jamaa kajenga shule 7

na pale kaweza contractors wa class 1

na pia kajaza kila kitu mle wataalam wa mambo ya ujenzi watasema kuwa kila shule ni zaidi ya pesa hiyo

wewe umeziona huzo shule zenyewe?
 
wabongo muache madongo huyu ni mzalendo halisi anayehitajia kutunukiwa nishani ya kujitolea kwa taifa letu huyu ni mbunge pekee Tanzania aliyweza kuchangia maendeleo ya jimbo lake kwa pesa zake ,

WABONGO MTU AKITOWA KWENYE JAMII LAZIMA MHOJI NA KUMBANDIKA VYEO VICHAFU ,JIULIZENI NYINYI MMECHANGIA NINI KWENYE TAIFA HILI , IGENI VITENDO VIZURI KAMA VYA MHESHIMA NIMROD MKONO , :poa
 
kama kaiba kisha akainvest ndani ya nchi kwa kujenga shule mimi sina problem

100 billion in education Musoma...

returns zitakuwa za kutisha sana
 
Tabia za kuwapongeza wezi sizipendi...Mkono alikua mwizi na ndo source ya utajiri wake.
 
Wakuu nimefika jimboni kwa mkono nimeona kazi zake yes nimekubali pamoja na mengine the man jimboni kafanya mengi.Si hizo tu na hata shule za msingi nk .Mkono hana mshindani pale kwake tuache kujidanganya .Mimi siipendi CCM lakini kwa mkono kumtoa si kitu chepesi .Kafanya kweli na anakubalika .Mkono hata serikali inaenda kumuomba pesa akiwa jimboni kwake .Mkono huyu huyu unaye muona .Mie namkubali kwa maendeleo yale nimeona mwenyewe na picha ninazo.

Gonga hii link utaona kwa uchache shule zake

Musoma Rural Website.
wakuu wana jf tuwe wakweli humu kuna vibaraka wanadanganya na kukuza mambo mkono anasaidia kijijini kwake na wazanaki wenzake kwa wakurya ambao ndo wapiga kura wakubwa kwake amewatelekeza hizo shule unazosema 1. CHIEF IHUNYO
2. BUSEGWE
3. WANZAGI
4. BUTURI
5. KASOMA
6. OSWALD MANG'OMBE
7. BUSEGWE PRIMARY SCHOOL
8. BUTUGURI
Ziangalie ziko eneo gani ni kwa wazanaki na waikizu si wakurya wala wajita ambao nao wanampigia kura kama anasaidia shule zake ebu nenda shule ya WEGERO, BUKO, BARANGA angalia zikoje na zina hali gani na kama zinalingana na sifa mnazo msifia mkono shule hizo zinafundisha masomo matano kisw,civ,hist,geog,hist hawajui biology ,chem.maths phy ni nini lakini mtihani wa national masomo hayo yanatahiniwa . wewe unaye mtetea na kusema umetembelea jimbo lake umefika shule ya wegero? baranga umezionaje zinafanana na hizo mlizoweka picha kwenye website acheni unafiki mmewaona wakurya ni wajinga kiasi hiki na kwa vile wengi hawana habari na mtandao huu wa jf ebu tokeni mkafanye utafiti
 
subutuuu

atumie bilioni 90 halafu anunue mpinzani?

haingii akilini

unless mpinzani wake anaweza kutumia billioni 200 kujenga hospitali

Mkuu usibishe. Ni kwamba yeye kule Musoma Vijijini huwa anapita bila kupingwa. Sasa akatokea mzee mmoja hivi anaitwa Busee nadhani, akaenda kugombea kwa ticket ya CDM. Mzee Mkono (Mkono kwa Mkono) akamuita akamuuliza wewe umeishatumia kiasi gani hadi sasa, M CDM akajiuma uma. Mzee Mkono akamtoa kwa gari na kumrudishia gharama zote alizotumia katika mchakato wa kujiandaa kugombea Ubunge! Huyo M CDM hakurudisha form!!!

Ila pia kumbuka kwamba mzee Mkono ana mkono wake kwenye ushindi wa Vicent Nyerere kule Musoma Mjini. Hutaki unaacha lakini habari ndiyo hiyo.

Mkono amejenga shule za kutisha maeneo ya Busegwe na Butiama. Shule kama Oswald mang'ombe na Chifu Ihunyo.
 
wakuu wana jf tuwe wakweli humu kuna vibaraka wanadanganya na kukuza mambo mkono anasaidia kijijini kwake na wazanaki wenzake kwa wakurya ambao ndo wapiga kura wakubwa kwake amewatelekeza hizo shule unazosema 1. CHIEF IHUNYO
2. BUSEGWE
3. WANZAGI
4. BUTURI
5. KASOMA
6. OSWALD MANG'OMBE
7. BUSEGWE PRIMARY SCHOOL
8. BUTUGURI
Ziangalie ziko eneo gani ni kwa wazanaki na waikizu si wakurya wala wajita ambao nao wanampigia kura kama anasaidia shule zake ebu nenda shule ya WEGERO, BUKO, BARANGA angalia zikoje na zina hali gani na kama zinalingana na sifa mnazo msifia mkono shule hizo zinafundisha masomo matano kisw,civ,hist,geog,hist hawajui biology ,chem.maths phy ni nini lakini mtihani wa national masomo hayo yanatahiniwa . wewe unaye mtetea na kusema umetembelea jimbo lake umefika shule ya wegero? baranga umezionaje zinafanana na hizo mlizoweka picha kwenye website acheni unafiki mmewaona wakurya ni wajinga kiasi hiki na kwa vile wengi hawana habari na mtandao huu wa jf ebu tokeni mkafanye utafiti
Mkuu nimependa tathmini yako. Ni kweli kuna kilio hicho kwamba Mkono anajenga shule maeneo ya Wazanaki hasa Busegwe na maeneo ya Ikizu ila amewatupa mkono wakazi wa maeneo mengine. Tukumbuke Jimbo la Musoma Mjini ni kubwa mno na lina jamii mbalimbali. Hivyo basi kuna kilio toka kwa wajita wa maeneo ya Bukima na Makojo kwamba wametengwa na mapesa ya Mkono kwa Mkono. Lakini Mkuu sijui kama kuna Wakurya wengi huko Musoma vijijini.
 
Bilioni au Milioni 90? Kama ni shula za kisasa zenye maabar inawezekana. Congrats mzee, unajua kuteka akili za Wakurya.

Mkuu huyo mkono yuko jimbo la Wazanaki huko Musoma vijijini ambako nae kazaliwa, kwa wakulya yuko mtungaji vitabu huko Tarime.
 
Mkuu nimependa tathmini yako. Ni kweli kuna kilio hicho kwamba Mkono anajenga shule maeneo ya Wazanaki hasa Busegwe na maeneo ya Ikizu ila amewatupa mkono wakazi wa maeneo mengine. Tukumbuke Jimbo la Musoma Mjini ni kubwa mno na lina jamii mbalimbali. Hivyo basi kuna kilio toka kwa wajita wa maeneo ya Bukima na Makojo kwamba wametengwa na mapesa ya Mkono kwa Mkono. Lakini Mkuu sijui kama kuna Wakurya wengi huko Musoma vijijini.

Mkuu hapo kwenye red hilo si jimbo lake, jimbo lake ni musoma vijini ambako kuna wazanaki wengi, ila musoma mjini yupo kamanda Vicent Nyerere kutoka Chadema.
 
Fisadi Nimrod Mkono.... hakuwa kwenye chart enzi za Julius Kambarage Nyerere. Alisimamia serikali (na kulipwa mahela mengi) against marehemu Valambhia.
 
basi Mkono ni Tajiri wa Kwanza Mwafrika ndani ya Tanzania kwa kuwa yeye afanyi biashara huwa hapati hasara yeye ni kulenga kwenye kei zenye hela na kushinda kirahisi kwa kuwa zimekaa kipesa zaidi. Hivyo hata angelijenga chuo kikuu bado hatutamthamini aliridisha maendeleo nyuma kwa kukwapua hela za Wa-Tz sasa anaanza kulipa taratibu, ifikapo 2015 atakuwa karudisha billion 200 ndipo atasemehewa dhambi zake
 
Sio mbaya ilimradi zinawasaidia wapiga kura wake ni jambo la kupongezwa hata ni halali au sio halali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom