Punguzo kubwa la bei ya matrekta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Punguzo kubwa la bei ya matrekta

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by ngoshwe, Jan 27, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  PUNGUZO KUBWA LA BEI YA MATREKTA YANAYOUZWA NA SUMA JKT - JANUARI 2012

  [TABLE="width: 924"]
  [TR]
  [TD]Na
  [/TD]
  [TD]TREKTA
  [/TD]
  [TD]BEI YA ZAMANI Machi 2011
  [/TD]
  [TD]BEI MPYA
  Januari 2012
  [/TD]
  [TD]PUNGUZO
  %
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]1.
  [/TD]
  [TD]Farmtrac 60(50 HP; 2wd)
  [/TD]
  [TD]25,635,759.00
  [/TD]
  [TD] 16,480,952.00
  [/TD]
  [TD]35.71
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2.
  [/TD]
  [TD]Farmtrac 60DT(50 HP; 4wd)
  [/TD]
  [TD]32,751,160.00
  [/TD]
  [TD] 23,267,522.00
  [/TD]
  [TD]28.96
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]3.
  [/TD]
  [TD]Farmtrac 70(60 HP; 2wd)
  [/TD]
  [TD]34,737,675.00
  [/TD]
  [TD] 23,155,067.00
  [/TD]
  [TD]33.34
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]4.
  [/TD]
  [TD]Farmtrac 70DT(60 HP; 4wd)
  [/TD]
  [TD]39,569,957.00
  [/TD]
  [TD]30,489,632.00
  [/TD]
  [TD]22.95
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]5.
  [/TD]
  [TD]New Holland 75 HP; 2wd
  [/TD]
  [TD] 40,477,573.00
  [/TD]
  [TD] 31,030,487.00
  [/TD]
  [TD]23.34
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]6.
  [/TD]
  [TD]New Holland 75 HP; 4wd
  [/TD]
  [TD]45,821,307.00
  [/TD]
  [TD] 38,784,527.00
  [/TD]
  [TD]15.36
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  New Bagamoyo Road, Mwenge Light Industries Area,
  P.O Box 1694, Dar es Salaam.

  Telephone: +255 222780588; Fax: +255 22 2780048/2780715
  Mobile: +255 715 787 887, +255 716 228 296

  Bank A/c Na. 0198139600 CRDB – AZIKIWE PREMIUM BRANCH
  A/c Na. 225660035 NMB – MLIMANI CITY BRANCH
   
 2. samito

  samito JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ivi haya matrecta hayalipiwi kodi? je nikinunua hapo nitafanya registration au yapo tayari kwa ajili ya kutumika shambani, naombeni mwongozo.

  afu pia ipi bora kununua used au haya ya SUMA jkt? ukilinganisha ubora, bei na HP?
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  matrekta kawauzie ccm ndo wanataka kulima.
   
 4. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu ngoshwe, hayo matrekta ni mapya? new holand 4WD na made wapi?
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ngoshwe ngoshwe ngoshwe ngoshwe... tafadhari maelezo zaidi kuhusu haya matractor mkuu... nimekuwa nikitafuta hii kitu muda mrefusana lakini nimekatishwa tamaa na watu kuhusu ubora etc mpaka sasa sijui machine nzuri ni ipi mpaka nikakata tamaa baada ya kuona hii taarifa naona ari imepanda ghafla

  na wengine wenye kuyafahamu haya matractor plz tuelimishane wakuu, Hope LAT upo njiani
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: documentBody"][h=1]SUMA JKT Reduces Tractor Prices[/h]Written by Abdulwakil Saiboko (Daily News)
  11 January 2012
  [HR][/HR]THE National Service Commercial Wing (SUMA-JKT) has reduced prices of tractors by between 15 and 36 per cent, the Project Manager, Colonel Felix Samillan, said in Dar es Salaam on Tuesday.
  The announcement by Col. Samillan comes a day after the 'Daily News' published a story on prohibitive prices of tractors and other farm machinery to farmers, a factor that negates the spirit of the government's Kilimo Kwanza initiative.
  "We would like to let farmers know that our prices have gone down by between 15 and 36 per cent. The decrease has taken into consideration the government's initiative of Kilimo Kwanza (agriculture first) that is aimed at boosting agricultural production," he said.
  Without going into details on factors that led to reduction of prices, Col Samillan noted that the company was expecting huge orders from various institutions and farmers across the country. With the new prices, tractors formerly sold at 25m/- have gone down up to16m/-, bringing hope to many farmers to acquire them.
  Col Samillan yesterday handed over a tractor to Mr Hamza Mafita who hails from Kondoa District shortly after he purchased it on cash at 16m/-. Mr Mafita who also introduced himself as the Kondoa Urban Councillor, noted that it was his seventh time to buy a tractor from the company.
  "This is the seventh tractor I am buying from SUMA-JKT. I earlier bought six others for the co-operative union. This one is my own and what I can say is that the tractors are of good quality," he said.
  Col Samillan called on farmers to organise themselves through co-operative unions and Savings and Credit Cooperative Societies (SACCOs) so that they can easily get access to tractors on loans. The SUMA-JKT Executive Director, Col Ayoub Mwakang'ata noted that the 2012 would be a prosperous year for farmers, urging them to respond positively to reduced prices of tractors.
  "We expect that the farming coming season will witness bumper harvest, farmers will be able to export their produces without causing food insecurity if they will respond positively on our move to review prices," he said.
  The project was launched in 2010 to supplement the government's efforts to boost the agricultural sector by selling tractors at reduced prices which had almost stalled as the targeted poor farmers were unable to raise funds to buy the machines.
  Before the prices were reviewed the tractors were selling at between 25m/- and 45m/-.
  The government also ordered all the district councils to purchase at least 50 tractors each and sell them to farmers in their localities to boost agricultural sector.
  The Minister of State in the Prime Minister's Office responsible for Investments and Empowerment, Dr Mary Nagu, recently promised to meet with her counterpart at the Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operatives on the matter.
  "It is true the tractors are expensive due to their size and quality but despite that fact, we will meet to see to it that they are sold to the intended consumers at affordable prices" she said.

  SUMA JKT Reduces Tractor Prices | SUMAJKT

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu we piga simu zilizotwajwa hapo juu utapatiwa maelezo ya kina. Tractor kama ilivyo kwa pembejeo na zana nyingine za kilimo hazilipiwi kodi zikiingizwa nchini.
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Most from India Mkuu,
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu natafuta kujua ubora wake kwa anayefahamu/aliyetumia hizi machine
   
 10. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hiyo bei,bado imechakachuliwa,sio bei yake halis!!
   
 11. b

  bagamoyo1 Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizi tractor ni nzuri n a bei ni powa sana , mimi huzikodi kutoka kwa watu , hivi sasa 2 ziko kazini kwamiezi 2 na nitamlipa kila mwezi sh 3million diezel kwangu chakula kwangu , service na dereva kwako lakini iwe ya 4 wheel drive , kwa bei hii nitakwenda kununua 2,.
   
 12. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu ebu tuambie wewe bei halisi ni ipi na wapi zinaweza kupatikana kwa bei hiyo halisi? Tushauriane ili tusaidie na wengine MKuu
   
 13. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu ni vyema kama unahitaji maelezo ya kitaalamu (Technical Spec etc) wewe tembelea pale SUMA JKT kama upo Dar au vipi piga simu hapo juu..ni njema sana lakini zaidi kama ilivyo kwa mashine nyingine, ni vyema ukaona physically.
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  thanx mkuu nimepata mwanga kidogo kutoka kwa bagamoyo1, ngoja niendelee kufanya utafiti kwa waliotumia. Hao suma wenyewe ni wafanyabiashara si wakuamini sana maelezo yao
   
 15. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama bei ya new holland rahisi kiasi hicho na ni mpya, aki ya Mungu unaweza fanya biashara ya kuyatoa tz kuyapeleka ulaya kuhuza
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Subir kwanza, akili inajaribu kuchanganua. Hivi SUMA ni nani, na maleng yao ya kuuza zana za kilimo ni yapi?...Nikiangalia hzo figure hapo juu nachanganyikiwa!; hawa jamaa kama wameweza kufanya punguzo kubwa kiasi hicho sipati oicha walikuwa wanatengeneza faida kiasi gani hapo kabla na sasa, naona kama kuna unyonyaji flani hv! Hv mtu ukiagiza moja kwa moja India inakuwaje?
   
 17. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Utakuwa umekosea njia Bw Ringo!
   
 18. b

  bagamoyo1 Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  matrekta yamepunguzwa bei sio kama suma jkt watapata hasara ni serikali ndiyo imetowa amri hiyo na serikali itawapa pesa suma jkt

  za kuongezea kuna msamaha wa kodi zote kwenye matrekta haya , hii njia moja inayofanywa na serikali katika kumwezesha mkulima kulima zaidi , kama mbolea haina ushuru , na unaweza kuipata kwa bei nafuu , sasa tushindwe wenyewe kulima
   
 19. nuraj

  nuraj JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2013
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Hata Matrekta bado SUMA jkt wanayauza??
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Massey Fergusson kiboko yao
   
Loading...