Budget Holding sJapan- hawataki kunirudishia hela yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Budget Holding sJapan- hawataki kunirudishia hela yangu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by newazz, Aug 2, 2011.

 1. n

  newazz JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  NIlinunua gari kutoka kampuni ya Budget Holdings ya Japan, nikafanya malipo mwezi wa sita, hadi sasa hawajaweza kunitumia gari, nilipoona wameshinda kununua gari lile nililotaka, nikawaambia wanirudishie pesa yangu. Hapo ndipo imekuwa ubabaishaji, nimepiga simu na kuwaandikia email, lakini wanatoa ahadi ambazo wameshindwa kutekeleza, ninaona kuna hatari mbele. Je kuna hatua gani naweza kuchukua ili kupata pesa zangu? Naomba msaada katika hilo.
   
 2. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  umetuma doller ngapi? wana gari zaidi ya 943 on stock, hebu jaribu kuwaambia unataka choice nyingine, I gues the one you paid for ilikua labda ishauzwa kwa mtu mwingine.

  Huwezi potezi pesa kama ni hao jamaa.

  I have a friend aliagiza gari alipewa ahadi za ajabu ajabu but within 6 months akapata gari yake.
   
 3. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,556
  Likes Received: 1,322
  Trophy Points: 280
  Mkuu NiPM nikupe mtu wa kukusaidia kupitia ubalozi wetu (TZ) huko Japan
   
 4. n

  newazz JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Huo ni muda mwingi sana, nimeshaagiza magari mara kwa mara kutoka Japan, basing on their stock and "purpoted year established" 1962 , nikafikiri ni reputable company, lakini hawana maana kabisa... sitaki kusubiri miezi sita kupata gari... Kwa kweli nimeshawatia msukomsuko sana, nafikiri kama they have any sense, I will shut off this company from online , if they are not sensible and sensitive to return my "hard earned dollars" I swear ...
   
 5. n

  newazz JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  NakuPM sasa hivi, haya ndio mambo.....
   
 6. b

  bagamoyo1 Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WASILIANA NA MIMI NIKUSAIDIE MIMI NILIZULUMIWA GARI YA USD 20,000 NILIKWENDA FOREIGN HAKUNA KITU WALINIAMBIA NIFUNGUE KESI KWENYE MAHAKAMA YA KIBIASHARA , NILIPANDA NDEGE NIKAENDA HADI NYUMBANI KWA OWNER NIKAMTEKA NYARA MKEWE HADI POLISI WALIPOKUJA , BOSI ALITITOWA GARI NA KULIPA HOTEL HADI SIKU YA KUONDOKA , ilikuwa ninja show
   
 7. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hawako hivyo unawapakazia! Na deal nao daily mwaka wa 6 huu
   
Loading...