Recent content by Babu Ubwete

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

    Kwa Ufupi Mh mtarajiwa Charles Gardner Payi naweza kumuita ni Mtoto wa mjini sana aka Mzee wa Mipango aka Sukari ya Mabinti na wamama matajiri. Yasemekana Aliwahi Kuwa muajiriwa wa Voda kitengo cha Huduma kwa Wateja kama ijulikanavyo kitengo hicho kina mabinti wengi na huyu ndugu hata mkewe...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

    Pole sana mh. mbunge huu ni upepo tu utapita.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kujifungua kwa Operation imekuwa too much nowdays, why?

    Ni kuongeza pesa kwa hospital na M a Dr Binafsi. Mfano Agha Khan Mke akijifungua kawaida inacheza laki nane hii inapunguza sana muda wa kulazwa wodini. Lakini wakiona yuko chini ya Med insurance coverage kama Jubilee watampasua Tumbo na kumalaza invoice ikija kuletwa mpaka milion 3.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Human resources wote mrekebishe hii kadhia

    Kumekuwa na Utaratibu mbovu sana wa kurecruit watu hasa pale Organisation husika inapotoa mlolongo wa hatua mfano US Embassy wao wanataka ujaze Persona History Form yenye page si chini ya 15, UN agencies, wengine kama PPF na TRA mnaweka website employment portal ambazo hazi respond. Nimewahi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Mh Waziri wa Kazi mama G. Kabaka ameongeza muda wa hizi kampuni uchwara ku comply na Matakwa ya serikali mpaka mwisho wa mwezi huu. Je Erolink na kukwepa kwao kodi wataadhibiwa? Tunasiki Evis kakimbia sijui kweli?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Kampuni kama Radar Recruitment robo tatu ya wafanyakazi wake ni wageni si watanzania tutegemee nini hapa. BG au British Gas imejaza wakenya kweli ndiyo hayo matokeo ya uchumi wa gas yatamnufaishaje mtanzania???
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vipaji-link recruitment ni matapeli wakubwa, msije kudanganyika na ajira zao

    Katika reseacrh yangu ndogo Hiyo Viapji Link ni Binti mmoja wa Kichina ambaye alikuja TZ hana hata mtaji yasemekana ameolewa na mtanzania. Sababu yeye anajua Kichina kampuni nyingi kam si zote za wachina zinampatia tenda ya kutafuta wafanyakazi meaning ametoka kimaisha kimtindo na Mumewe wake...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Big result now imeleta heri kwa vijana wanonyonywa na makabaila wanaojiita Recruitment Agency. Erolink, Spanco wanaongoza kwa huu mchezo mchafu. Ni kwanini Vodacom na Airtel wasishitakiwe na Serikali kwa kuelewa Fouls zinazochezwa na ma HR Directors na hizi Recruiting agencies wao wanaoingia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Kenya hata Tanzania kinaweza kutokea...tuchukue hatua!!!

    Sio Kila tukio lazima kuunda Tume.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Takwimu za wahamiaji haramu zinatisha...!

    Uhamiaji na Afisa Ajira mpitie sehemu hizi na muombe Permitt za wafanayakazi amabao si raia tupilia wazo la investment mbali Synovate- Regent Delloite- PPF Tower Mining Consultant Firms oysterbay,masaki na Msasani Penisular such as Ophir,Dominion,Beach Petroleum hata Barrick mpite muulizie Work...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto: Sidhani kama K/koo,M/city,Posta iko salamaa

    Wananchi wenzangu kama huna shughuli maalum Mlimani City usiende kuuza sura.Hii ya Kenya tuna mafundisho mengi sana ya kujitambua. Ukiona mtu haeleweki ripoti polisi haraka.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mecky Sadiki na Anna Tibaijuka wamepuuzwa au wamenunuliwa ?

    Nje ya mada kidogo. Wheshimiwa watajwa hapo juu mbona mnaacha watu wanajenga barabarani mfano Mwai kibaki road eneo la Kwa Nyerere mpaka Warioba nyumba za opp na Raisi mstaafu mh Mwinyi na yale maduka yote pale DIS school ni batili kwanini yasivujwe mapema kabla hawajazoea.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Moto kwenye airport Kenya: Soon Dar Wataiga kujenga airport ingine ya kisasa zaidi

    Askari police kazaa waliokuwa zamu uwanja wa ndege siku moto umetokea wakutwa na Fedha kibao za nje baada ya kupora maduka ya Duty Free shops imeelezwa na Citizen TV.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Erolink recruiting agency sasa yamulikwa na serikali

    Najaribu kuzifuatilia kwa karibu hizi Recruitment agency mfano Radar Kazi nyingi wanauza plus kujuana kazi walizouza hivi karibuni ni za Voda,BG,Statoil,Heineken na TICTS.
Back
Top Bottom