Babu Ubwete
Senior Member
- Jan 26, 2008
- 169
- 31
Kumekuwa na Utaratibu mbovu sana wa kurecruit watu hasa pale Organisation husika inapotoa mlolongo wa hatua mfano US Embassy wao wanataka ujaze Persona History Form yenye page si chini ya 15, UN agencies, wengine kama PPF na TRA mnaweka website employment portal ambazo hazi respond. Nimewahi kuona kwenye The East African Newspaper kazi moja ya US Embassy Nairobi au Sudani unatuma email na CV tuu. Wengine wapuuzi mpaka leaving certificate ya Primary school huku ni kupotezeana muda na muda ni malighafi.
Wengine kila baada ya miezi miwili mnatoa matangazo ya kazi wakati kumbe ni 'Publicity Stunt' Tumeonekane mnaaajiri sana mfano AfBarrick Gold,Precision Air, Sunda na kampuni zingine za magumashi.
Najua Ma HR huwa mnapitia humu ndio maana @ Lucy Mbogoro umeshukuru watu walivyoifagilia Low Cost Airline yenu.
Nawasilisha.....