bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,354
Hawa jamaa wa Erolink recruiting agency mwisho wao umekaribia unless kama kuna mkubwa yupo nyuma yao, lakini kama wamesimama wao kama wao lazima anguko lao laja.Bwana usichezee vilio vya watoto wa maskini ambao wanavuja jasho then anaekula ni Erolink recruiting agency kwa mikataba fekifeki huku wanaovuja jasho ni wengine. Bora serikali iingilie kati maana hawa jamaa walikuwa wanajifanya miungu mtu na interview zao za ajabu ajabu zilizojaa upendeleo wa hali ya juu. Soma mwenyewe ya leo leo
Home
Home