Changamoto: Sidhani kama K/koo,M/city,Posta iko salamaa

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari Wanajamvi? Poleni na pilika pilika za kila siku.

Jamani embu turudi hapa nyumbani tujadiri kwa kina usalama wa yale maeneo yenye mlundikano wa watu wengi JE USALAMA upo wa maeneo hayo.....???

Nikifikiria ujio wa hawa wahamiaji haramu ambao wengi wao hatujui nia zao za kuingia kimya kimya sidhani kama nchi hii itakuwa salama huko tuendako.

Kuna ambayo huwa nafikiria sana usalama wao hasa M/city,Mwenge,Posta,Kariakoo haya maeneo yenye biashara nyingi hayako salama hata kidogo.Ni watanzania kumwomba Mungu aepushie mbali majanga hayo yasitukute tu.Lakini si kwa udhaifu wa ulinzi na uzembe wa watendaji wa nchi hii ambao wachache wao n hushirikiana nao katika kuhakikisha wanapata hati halali za kuishi humu ndani bila kujua nia zao....

Tukae macho sasa kila kona,serikali isambaze watu wake mpaka kwa mama ntilie ndio tutakuwa na ka usalama kidogo...lakini si kwa hivi tuishivyo.

do they have the motive to harm us?naongelea alshabaab,.
 
ni kweli kariakoo imejaa wasomali ambao hata kiswahili hawajui kuongeaa hawa jamaa ni hatari na ndio wauzaji wakubwa wa silaha uhamiaji wao wamezoea kuchukua pesa
 
Habari Wanajamvi? Poleni na pilika pilika za kila siku.

Jamani embu turudi hapa nyumbani tujadiri kwa kina usalama wa yale maeneo yenye mlundikano wa watu wengi JE USALAMA upo wa maeneo hayo.....???

Nikifikiria ujio wa hawa wahamiaji haramu ambao wengi wao hatujui nia zao za kuingia kimya kimya sidhani kama nchi hii itakuwa salama huko tuendako.

Kuna ambayo huwa nafikiria sana usalama wao hasa M/city,Mwenge,Posta,Kariakoo haya maeneo yenye biashara nyingi hayako salama hata kidogo.Ni watanzania kumwomba Mungu aepushie mbali majanga hayo yasitukute tu.Lakini si kwa udhaifu wa ulinzi na uzembe wa watendaji wa nchi hii ambao wachache wao n hushirikiana nao katika kuhakikisha wanapata hati halali za kuishi humu ndani bila kujua nia zao....

Tukae macho sasa kila kona,serikali isambaze watu wake mpaka kwa mama ntilie ndio tutakuwa na ka usalama kidogo...lakini si kwa hivi tuishivyo.
Hata Sheikh Ponda, tungeweza ku-rewind miaka angekuwa M.H.
 
Wananchi wenzangu kama huna shughuli maalum Mlimani City usiende kuuza sura.Hii ya Kenya tuna mafundisho mengi sana ya kujitambua. Ukiona mtu haeleweki ripoti polisi haraka.
 
mambo ya kufuatilia ni mengi sana kwa maana ya kuimarisha usalama wetu; bado nasema utashi wa kisiasa unatakiwa ili kufanikisha hili; tujiulize tu ; inakuwaje mtu anammwagia tindikali mwenzake mchana na bado asionekane; au analipua bomu ktk mkutano unaolindwa vilevile asionekane; tuaonane na watumiaji wa madawa ya kulevya na wasituambie wanayapata toka kwa nani;
mie naona tumeanza vema kupunguza hao wahamiaji, ila tuendelee na awamu ya pili ambapo wasomali, wahindi, waarabu, nk nao tuwaguse, tutakuwa tunainusuru kariakoo na majanga kama haya kwani wengi wapo maeneo hayo.
 
wakuu haya mambo ni mazito, usalama wa hili jiji upo rehani...
 
mambo ya kufuatilia ni mengi sana kwa maana ya kuimarisha usalama wetu; bado nasema utashi wa kisiasa unatakiwa ili kufanikisha hili; tujiulize tu ; inakuwaje mtu anammwagia tindikali mwenzake mchana na bado asionekane; au analipua bomu ktk mkutano unaolindwa vilevile asionekane; tuaonane na watumiaji wa madawa ya kulevya na wasituambie wanayapata toka kwa nani;
mie naona tumeanza vema kupunguza hao wahamiaji, ila tuendelee na awamu ya pili ambapo wasomali, wahindi, waarabu, nk nao tuwaguse, tutakuwa tunainusuru kariakoo na majanga kama haya kwani wengi wapo maeneo hayo.

mkuu tujiandae kwa maumivu
 
Back
Top Bottom