Uhamiaji na Afisa Ajira mpitie sehemu hizi na muombe Permitt za wafanayakazi amabao si raia tupilia wazo la investment mbali
Synovate- Regent
Delloite- PPF Tower
Mining Consultant Firms oysterbay,masaki na Msasani Penisular such as Ophir,Dominion,Beach Petroleum hata Barrick mpite muulizie Work Permitt na Job description. Kilwa House pembeni ya Oysterbay hotel
Hyatt Kempinski hotel, Serena,Double Tree Hilton,Capetown Fish Market,Sleepway pale muombe permitt kwa kila mweupe mnayemuona.
Hotel zote za kariakoo muingie chumba hadi chumba na kuangalia waajiriwa na permitt zao.
Sinza Mori na kwingineko kuna malodge yamejaza watu tuna mashaka nao.
Muwe mna raid kumbi za starehe kama Maisha Club na makanisa pia .
Ngo zilizojaa Mikocheni A Regent kama Futures group, Imma World health na msibague rangi uliza kazi,muhtasari wa kazi na permitt maana wengine wana CTA tuu miaka nenda rudi
Kindergaten zote ziko nyingi sana DSM na shule.
Al uruba na Tansoma msiache kupita.
Fastjet pia msiache kupitia work permitt na Job description haiingii akilini Afisa rasilimali watu atoke Kenya wakati Tuna vyou na watu wenye experience na hiyo kazi.
Mkijitahidi kutenda haya tutaongeza pia pato kama fine ya wahamiaji haramu na kutoa nafasi kwa vijana wanaotembe na bahasha kutafuta rizki za vibarua