Kujifungua kwa Operation imekuwa too much nowdays, why?

Mke wng juzi pia alijifungua kwa opreshen mtoto alikaa vibaya alitanguliza makalio unategemea nn hapo op inakuja kutokana na mazingira ya mgonjwa mwenyewe
 
Wengi wao ni wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile na wengine hawataki papuchi zao zitanuke

papuch haitanuk wala nn,mi yangu km mtoto hajapt hapa loh and im proud kujifungua kwa njia hyo,ndo nkiona hata mtoto wa mtu analia napata uchungu kama mwanamke,hawa wa visu mmm
 
Kuna mengi lakn la muhimu wanataka papuchi iendelee kuwa mnato. hahaa
 
Kufuatia uzoefu wangu kupitia ndugu jamaa na marafiki, na pia maneno yanayosemwa sana mitaani ni kwamba hivi sasa asilimia ya wanawake kujifungua kwa upasuaji imekuwa kubwa sana tofauti na zamani

Na kwa uchunguzi wangu mdogo kujifungua huku kwa operation kunatokea zaidi hapa DSM na mikoa mikubwa kama Arusha, Mwanza na Mbeya.
Na kana kwamba haitoshi upasuaji huo hutokea zaidi hospitali za binafsi au hospitali za rufaa kwenye huduma fast track kama Muhimbili

kwanini imekuwa hivi
Je ni nyakati zimebadilika aina ya vyakula,madawa na mazingira yanafanya akina mama wanashindwa kujifungua kawaida?

Je ni njia ya kupunguza uzazi kwa watu kuzaliana kwa kasi? (inaaminika operation mwisho watoto watatu,na once operation always operation)

Je ni mbinu ya hospitali kujiongezea kipato(inaaminika operation is very expensive na inalipa zaidi,na Drs wanalipwa zaidi kwa kila upasuaji iwe private au gvt huduma ya fast track)

Je ni mambo ya kisasa, akina mama wanataka wenyewe upasuaji kwa kuhofia uchungu na ''kupanua njia''

Naomba mawazo yenu wadau................mnalionaje hili hasa akina mama

kuporomoka kwa maadili pia kunachangia mfn Tabia ya wadada ya kujihusisha na mapenz kinyume na maumbile pia yanachangia mwanamke kushindwa kujifungua. pia kutizingatia lishe bora na kuendekeza vyakula visivyo na tija kama chipsi nk.. kutofanya mazoezi nq mengineyo yanayoendana nayo
 
Umetisha vibayaaa! Hii itakuwa balaa kubwa. Picha ikija lazima tutafutane hapa jamvini...

Mkuu tuwe watulivu tuu taarifa za kiintelejensia nilizozipata ni kwamba iko njiani picha inakuja tuone mzigo ulivo wa maana grade a
 
Nadhani wanawake tunapaswa kuelewa kuwa ile k ni inatanuka unapojifungua lakini inajirudisha. Yani ni elastic. Mimi nimejifungua njia ya kawaida ila sasa hivi njia ni nyembamba tu kama zamani. Pili wavumilie uchungu kwani hata Mungu alishatuandikia kuzaa kwa uchungu. Binafsi ningezaa kwa operation ningeona kama bado sijawa mama kamili.
'binafsi ningezaa kwa operation ningeona kama bado sijawa mama kamili'HAPA NIMEPAPENDA
 
Ni kuongeza pesa kwa hospital na M a Dr Binafsi. Mfano Agha Khan Mke akijifungua kawaida inacheza laki nane hii inapunguza sana muda wa kulazwa wodini. Lakini wakiona yuko chini ya Med insurance coverage kama Jubilee watampasua Tumbo na kumalaza invoice ikija kuletwa mpaka milion 3.
 
Mimi nilishawahi kuona video ya jinsi mtoto anavyozaliwa...nakuhakikishia mkuu pauls hata wewe ungekuwa na 'K' unakitamani hicho kisu ...ni soo...Wakishikwa na uchungu wengine huwa wanapiga kelele kwamba hawatapata tena mimba lakini wakijifungua pamoja na mateso yote wanawaza kupata katoto kengine...Nadhani kuna fumbo kubwa sana Mungu ameliweka kwenye kubeba mimba na kujifungua kwa mateso kwa akina mama na nadhani ni vizuri mtu akajifungua kwa njia ya kawaida unless awe na matatizo

thats what it takes to be a mother ndo maana wenyewe wanasema hakuna kama mama au uchungu wa mttoto aujuae mzazi/mama
 
Back
Top Bottom