Recent content by BabM

  1. BabM

    Utajiri wa Jenerali Nguema aliyempindua binamu yake Ali Bongo. Wajinga ndio waliwao

    Unatoa kwanza mwiba wa tako unakaa kisha ndio unatoa mwiba wa mguu
  2. BabM

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Profesa vipi ufugaji bado unaendelea naoo/ maana naona ulitaka kufuga vitu vingi hebu ukuje utupe mrejesho
  3. BabM

    RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Dah. Tunapigwa mchana kweupeee. Barakoa ni dili. Zile za msaada ziko wapi??
  4. BabM

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mbona baadhi ya maeneo ya pongwe siku nne nfululizo tunalala bila umeme na hakuna taarifa??
  5. BabM

    Nchi yangu, je Nyerere angekuwapo angenyamaza?

    Usıponyamaza unayamazıshwa
  6. BabM

    Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    ''The lion doesn't care about what the monkeys say about him, sitting up in the trees."
  7. BabM

    Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

    un petit garçon
  8. BabM

    Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

    montre moi un crayon c et plait
  9. BabM

    Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

    Pole kwanza kwa kuchezea makofi mawili matatu maana najua hayo huwezi kuhadithia. Halafu wanaume wenzako moto ukiwaka huwa hawajifungii ndani bali wanatoka nje. Pili japo mkeo aliover react lakini wewe mwanaume jiweke kwenye nafasi yake sasa ndio kapiwa simu halafu akaenda barazani na mwanaume...
  10. BabM

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Vituko hivi jamani. Ni sawa na mtu kujisaidia katikati ya stendi ya Ubungo saa saba mchana halafu aseme anaogopa kuonekana.
  11. BabM

    Rais Magufuli anakutana na wafanyabiashara Ikulu Jijini Dar Es Salaam, nini maoni yako juu ya tukio hili?

    Wanaenda kupigwa mkwara matata kwamba mzee anawajua wasijidai hawaonekani.
Back
Top Bottom