Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB

Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB

Define opamp usilete bra brah hapa
as an amlifier..is a dc compeled high gain electronic v ampf with df input and single ended output....ila definion haifanyi ukawa competent...wew unaeza design nini kuhusu electronics..kwakua ulipata A ya physics..?
 
Ni neuro surgeon nlyebobea

Phd nmechukua mwaka jana

Kuhusu opamp , mm na mwenzangu tulidesign kifaa cha kutoa sign ya uwepo wa simu shulen , one of application of electronics , tulitunukiwa tuzo na mh mkapa
 
na inaezekana umepata A af ni ticha..bwahahaaaaa...ila kwingne kote niguse,,electronics niache kabisaa
Ndiyo mm ni mwalimu nawaelekeza wanafunzi wangu njia bora zaidi za kufanya upasuaji kwenye mfumo wa faham

Nataman wawe wengi wasaidie nchi yetu

Asante nashukuru
 
Ni neuro surgeon nlyebobea

Phd nmechukua mwaka jana

Kuhusu opamp , mm na mwenzangu tulidesign kifaa cha kutoa sign ya uwepo wa simu shulen , one of application of electronics , tulitunukiwa tuzo na mh mkapa
basi bulaza shkamoo....lakini hongera kwa kupata A adv..nahc ata olevel ulipga ivoivo....mi physics ya kusoma darasani naiogopa na o level nliambua c tu.....ila electronics kutoa mchoro kua kitu halisi naweza..ila mzee baba you are 5 steps ahead
 
Sawa

Asante
 
Bios soma mkate. Kitabu cha njano Cytology ipo deep. Kingine kipo cha orange. Tulikuwa tunaviita mkate. [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23].Chemestry hasa General chemisrty na organic chemistry nilisoma notsi za Mkandawile. Physics Nilikuwa nasoma notsi za wanaotoka Dar kusoma tuition. Pia nilisoma kitabu cha Nelkon.
Namie
 
Upande wa physics
Chand's principle
Nelkon
Roger Mancaster
Notes za moddy commissioner
Upande wa chemistry
Tafuta notes za mbuga au ngaza vitabu si ishu
Upande wa biology chukua Biological science (BS)
Mengine nimesahau wahenga watakukumbusha
Nisaidie bei tafadhali
 
Bios soma mkate. Kitabu cha njano Cytology ipo deep. Kingine kipo cha orange. Tulikuwa tunaviita mkate. [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23].Chemestry hasa General chemisrty na organic chemistry nilisoma notsi za Mkandawile. Physics Nilikuwa nasoma notsi za wanaotoka Dar kusoma tuition. Pia nilisoma kitabu cha Nelkon.
Unaweza Namibia bei zake
 
Mkuu katika vyote hapo vizuri hasa ni vipi naomba nabeizake tafadhali
Teh

Dgo asisahau muncaster roger

Understanding biology

Biological science

Chand Bios

chand physic

Chand chemistry

Ramsden

Schaummer series

3000 solved questions of physics

Understanding physics

Chand electronics

Chand modern physics

Chand inorganic

Chand organic chem

Na vingine viingi

teh ...
 
Wale jamaa wanaofundisha Tuition Dar...mchikichini...ni nooma.

Tafuta Notes zao za Chemistry na Biology, pia za Physics.

Notes zao ni nzuri balaa.

Ukisoma, hasa hasa hizo za Chemistry na Biology...Utakuja kuwashukuru hata kimoyo moyo.

Mbuga, Mkandawile, Muddy.

They are the Best.
Unaweza nipa mawasiliano yao mkuu
 
Best material kwa sasa ni kama hiv mkuu

Physics
1.s chand1&2
2.heat(Ally Abdallah)
3.electrostatic(said mgote) +Ally abdallah
4.mechanics(vitin vya Ally abdallah na mgote) +chand
5.properties of matter(elasticity, surface tension, kinetic theory of gas) soma kwenye chand maan imekamilika usiguse vitin kabisa
6.current electricity(Ally Abdallah)
7.electronics and telecommunication(Ally abdallah kaandila vzr sijapata kuona)

8.modern physics(chand 2 kakamilika usiguse vitin)

9.electromagnetism cjawah kuisoma hivyo sijui

NB:fanya maswal mengi sanaaa

CHEMISTRY
(Soma vitin vya NGAIZA sanaa jamaa ameandika vzr na hata vitabu vyake NECTA ina vitambua) lkn ushaur wangu hapa kwa topic kama electrochemistry jaribu kuchanganya Na UNGA CHEMISTRY kaandika ELECTROCHEMISTRY vzr sana haswa kwenye electrolysis

NB: fanya maswali mengi sanaaa

BIOLOGY
(BIOLOGICAL SCIENCE maarufu kwa jina la BS) but hii huwa tunaitumia sana kwa maswal notes zake nying sanaaa huwez maliza kusoma yote so tafuta summary ya vitin haswaa vya JOSEPHAT then BS utaitumia kwa maswal na baadh ya sehemu ambazo wamesummarize vby kwenye vitin

BAM &GS utajua huko huk shule

Goodluck mkuu
Mkuu nisaidie bei hapo
 
Back
Top Bottom