kwa hili mkuu hakuna haja ya pesa ya kigeni,uzembe wa mamlaka husika ,wanapeana tenda za kusafisha jiji kiujanjaujanja .kampuni haina uwezo wowote ule matokeo yake ndio hay sasa, kututia aibu,kuaribu mazingira kwa hewa isiyo salama, maradhi kibao ya mlipuko.
utakuta kampuni iliyopewa tenda...