Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Sawasawa, Zakumi
Labda tunapaswa kumlaumu baba wa taifa kwa system ya uongozi mbovu
tulio nao hivi leo. Lakini naomba nikuulize swali. Mimi ni baba mzazi. Nimezaa watoto, nikawalea, nikawapeleka shule, kuwalipia matumizi yao na kuwapa kila kitu walichokuwa wanahitaji. Baadaye mwanangu mmoja anageuka kuwa
jambazi. Hivi jamii itakuja kusema kuwa huyu mtoto ni jambazi na anayestahili kulaumiwa kweli ni baba yake? Tafakari. Mwalimu alifanya kila aliloweza. Alituunganisha Watanzania na kutuwekea misingi ya mshikamano. Alijenga chama imara CCM, lakini humo humo wakajiunga makanjanja akina Lowasa akina Mkapa akina etc. etc. ambao walishakiona chama kama njia ya kujipatia utajiri wa haraka. Kweli ni haki kumlaumu mzazi kwa tabia za wanae?

Kabla hatujaendelea ningependa niulize swali moja linalonisumbua. Kama Nyerere alifanya juhudi zote hizo kwanini Tanzania inakuwa kwenye ligi moja na nchi za kiAfrika zilizotawaliwa na madikiteta toka kupata uhuru ? Au kuwa ligi moja na nchi zilizokuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka mingi?

Wewe kama mzazi unamfundisha mtoto wako basics. Akihamua kuziacha hilo shauri jingine lakini anazo basics. Na siku akihamua kujirudi basi atakumbuka juhudi zako.

Kwa leo Tanzania haina basics zozote zile. Yaani ni weupe. Basics zote alizoacha Nyerere ni archaic, pre-historic and outdated. Najua nachokoza watu hapa.
 
Zakumi,
It is up to your generation to come up with new basics. Kama ulivyosema kila kitu siyo static. Nyerere alifanya alichoweza kishaenda mbele ya haki.
Mimi generation yangu ndiyo hao akina Kikwete ( age wise) na angalia madudu wanayoyafanya. You, the new generation gotta come up with new dynamics. On the dictator issue it is in the eyes of the beholder. Hiyo ligi unayoisema sijui ni kutokana na mtazamo wa nani. One person's liberator may turn out to be another person's dictator. It is open for debate. Tanzania hatujawahi kuwekwa kwenye ligi ya nchi za civil war. Actually when outsiders talk about us they talk about our amani na utulivu, which to me is beginning to sound archaic.
 
Jasusi:

Kwa upande wangu Nyerere alifanya alivyoweza (end of story). Katika swali langu ni kuwa nchi nyingi za kiAfrika zilichukua njia mbalimbali baada ya uhuru. Lakini hatima yake katika maendeleo ya jamii imekuwa karibu sawa across the board. Umasikini, magonjwa, you name them.

Hiki ndio kitu kinachonipa mimi wasiwasi. Haiwezekani nchi karibu 50 zichukue njia tofauti na zote zikutane sehemu moja.

Hivyo kabla sijapata tashwishwi ya kuacha kubeba mabox na kujiingiza katika jitihada ni lazima nijue kuwa haya matatizo yetu ni mfupa alioshindwa fisi au ni matatizo yanayoweza kutatuliwa ?

Kuna watu wanadai kuwa matatizo yetu ni ukosefu wa dira. Right, karibu ya miaka 30, tulikuwa dira na hatukufika popote (bridge to nowhere). Na tukitaka dira nyingine tunaweza kupoteza miaka mingine 30 au na zaidi.

Nchi kama Botswana haina dira yoyote, kuna demokrasi tu. Rais wa kwanza wa Botswana ni unsung hero katika Afrika. Wakati Nyerere yupo katika Ujamaa, Kaunda Humanism, Nkrumah kwenye Socialism, alichofanya yeye kujenga misingi ya ki-demokrasi ambayo imechangia sana katika good governance.

Kama democracy inaweza kuleta good governance. Na good governance kuleta maendeleo kwanini bado tunataka ku-reinvent the wheel na kutafuta dira ?
 
Kwanza weka Historia sawa. Wakati ule Sefu alikuwa CCM kwenye Sektarieti moja ya chama hakuwa tena Waziri, alikwishakumbwa na hilo panga panga la Jumbe.

Wakati Jumbe anachukua madaraka waziri kiongozi wake alikuwa nani ?
 
Zakumi,
'Tungekuwa na uongozi makini huu ni wakati muafaka kabisa kwa Tanzania kutajirika na maliasili zake. Lakini viongozi wote wa wakati huu hawana uzalendo na wameghubikwa na ufisadi. Leo dhahabu ni dola 913 kwa wakiya na tungekuwa tunasafisha dhahabu hapo hapo nyumbani badala ya kupeleka mchanga nje ungeona mapato ambayo tungekuwa nayo. Lakini viongozi wote ama wameshawekwa mifukoni mwa International Corporations au wanakula na kuiibia nchi pamoja na corporations hizo.

Kama kutajirika tungetajirika wakati ule wa nyerere na wachumi wengi walimshauri kufanya hivyo lakini kwa makusudi kabisa hiyo haikuwa kwenye sera zake.Kumtajirisha ama kumuelimisha Mtanzania si katika sera za Mwalimu.
Sera ya mwalimu ni kumfuta ujinga mtanzania.
 
Jasusi:

Kwa upande wangu Nyerere alifanya alivyoweza (end of story). Katika swali langu ni kuwa nchi nyingi za kiAfrika zilichukua njia mbalimbali baada ya uhuru. Lakini hatima yake katika maendeleo ya jamii imekuwa karibu sawa across the board. Umasikini, magonjwa, you name them.

Hiki ndio kitu kinachonipa mimi wasiwasi. Haiwezekani nchi karibu 50 zichukue njia tofauti na zote zikutane sehemu moja.

Hivyo kabla sijapata tashwishwi ya kuacha kubeba mabox na kujiingiza katika jitihada ni lazima nijue kuwa haya matatizo yetu ni mfupa alioshindwa fisi au ni matatizo yanayoweza kutatuliwa ?

Kuna watu wanadai kuwa matatizo yetu ni ukosefu wa dira. Right, karibu ya miaka 30, tulikuwa dira na hatukufika popote (bridge to nowhere). Na tukitaka dira nyingine tunaweza kupoteza miaka mingine 30 au na zaidi.

Nchi kama Botswana haina dira yoyote, kuna demokrasi tu. Rais wa kwanza wa Botswana ni unsung hero katika Afrika. Wakati Nyerere yupo katika Ujamaa, Kaunda Humanism, Nkrumah kwenye Socialism, alichofanya yeye kujenga misingi ya ki-demokrasi ambayo imechangia sana katika good governance.

Kama democracy inaweza kuleta good governance. Na good governance kuleta maendeleo kwanini bado tunataka ku-reinvent the wheel na kutafuta dira ?

Nyerere ni mmoja katika watu walioidumaza Africa not just Tanzania Kwa sera zake.Nyerere hakuwahi kupromote democracy ever,Alihakikisha majirani hawainuki kiuchumi,alihakikisha hatokei kiongozi yeyote atakaovershadow influence yake and he was ready to architect civil war for that poor nation.Nyerere was an architect for civil war in Congo,Uganda,Rwanda,Burundi,Mozambique and even Nigeria Kwa Ojuku and don't forget mauaji ya Zanzibar.

SAHIBA.
 
This is B----t and you know it!
 
Kabla hatujaendelea ningependa niulize swali moja linalonisumbua. Kama Nyerere alifanya juhudi zote hizo kwanini Tanzania inakuwa kwenye ligi moja na nchi za kiAfrika zilizotawaliwa na madikiteta toka kupata uhuru ? Au kuwa ligi moja na nchi zilizokuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka mingi?

Wewe kama mzazi unamfundisha mtoto wako basics. Akihamua kuziacha hilo shauri jingine lakini anazo basics. Na siku akihamua kujirudi basi atakumbuka juhudi zako.

Kwa leo Tanzania haina basics zozote zile. Yaani ni weupe. Basics zote alizoacha Nyerere ni archaic, pre-historic and outdated. Najua nachokoza watu hapa.

Maalim Zakumi, ingefaa umfufue Nyerere ili akunyweshe uji naona una njaa.Bila yeye aidha kichwa hakifanyi kazi au ndo utaendelea kulala tu
 
I am not Maalim. Lakini ukweli wa mambo ni lazima ujiulize kwanini dira zilizokuwa well articulated na mwalimu ziligonga mwamba kabla ya kulaumu kuwa nchi sasa haina dira.

Na kama hakuna dira kwanini ulaumu viongozi wa sasa wakati hata wewe ungeweza kufanya kazi ya kuandika iwe ni vitabu au makala.

Nyerere at least alianza kuandika dira zake kabla madaraka hajapata.
 
Katika hili mkuu Zakumi nakubaliana na wewe 100%.Kuongoza kila mtu anapenda lakini ukipata uongozi tu ndio unatambua kuwa kuendesha watu ni gari kubwa!Kila mtu ana mawazo yake wengine kutajirika wengine kuoa wake wengi wengine tu kuonekana mbele ya watu na kuogopwa!
Na hapo ndio zile dira za kisiasa,kiuchumi na kijamii ni muhimu.
Nyerere alijitahidi sana kuandika na kuphilosophize juu ya jamii tunayoitaka.Misingi ya philosophy ile bado ni dira tosha, ingawaje utekelezaji wake hata yeye ulimletea utata.
Toka nikiwa sekondari tulikuwa tunaimba kuwa resource ya maendeleo ni Watu,Ardhi,Siasa safi na Uongozi Bora.
Wewe uwe mjamaa au bepari waweza kutengeneza dira tofauti na nyingi katika resource hiyo hapo juu.Kikubwa ni kuiendeleza kulingana na mazingira yanayobadilika.
Maendeleo yoyote yasiyo tilia maanani misingi hiyo hapo juu, basi mtafaruku katika jamii lazima itatokea.
Kuandika upya dira ya kiamendeleo ni vizuri and in fact kabla mstakabali wa hisia za kisiasa kutekwa na hali ya mafisadi ,karibu miaka mitatu sasa, wengi wetu tulikuwa na imani ya utekelezaji mahiri wa Ari Mpya Nguvu Mpya na Kasi Mpya!
 
I am not Maalim. Lakini ukweli wa mambo ni lazima ujiulize kwanini dira zilizokuwa well articulated na mwalimu ziligonga mwamba kabla ya kulaumu kuwa nchi sasa haina dira.

Na kama hakuna dira kwanini ulaumu viongozi wa sasa wakati hata wewe ungeweza kufanya kazi ya kuandika iwe ni vitabu au makala.

Nyerere at least alianza kuandika dira zake kabla madaraka hajapata.

Dira za Nyerere ni kuwadumaza Watanzania na alifanikiwa sana katika hilo ndio maana baadhi ya waliodumazwa wanamtetea hadi leo.wanaomtetea nyerere aidha wamefaidika na utawala wa nyerere ama sababu zao za udini but honestly speaking he is a reason for our failier not just us and our neighbour countries.

Maalim Sahiba, statement yako hapo haina mantikiyoyote. Kama ni kudumaza ungetoa mifano ya statement yako.
Wajua hiki si kigenge cha kahawa.
Ni vyema ukatoa facts na logic ya statements zako.Nyerere alitawala, tena aliwaunganisha watu wengi.
Isingekuwa msimamo wake si ajabu hata mimi nawewe tusingekuwa tunaongea kama tunavyofanya sasa.
Katika post yako wasema nimekunywa maji ya bendera, sikutanii ndugu yangu I am not only a social thinker but also a pragmatist, na vile vile niko business oriented.
Hivyo maneno ya vigengeni I dont subscribe.
Weka arguments zako za social theories nawe utaeleweka.
 
The only and only credit Nyerere deserve is peace my friend and that is CCM's song to this days kazi kuwatisha watu ccm imeleta amani na kuwaumganisha watu you mean sera zake za udicteta zipate kuwafikia vizuri.Ukisema Nyerere hakuwa dictator itabidi nikusamehe ndugu yangu that will be sikio la kufa na moja ya failier zake ni pale alipotuhadaa kwa kusema anawaunganisha watanzania kwa kubadilisha mfumo wa elimu na kufanya kingereza ni kama somo mashuleni kwa makusudi kabisa matokeo mwanafunzi wa kidato cha nne anashwindwa kuongea kingereza,Pole baba.

Narudia tena, mkuu Sahiba , isingekuwa Nyerere mimi nawewe tusingekuwa na cha kuongea.
Na naona unatoka visiwa vileee..hamsikii dawa nyie maana mie hakuna mahali nimezungumzia udikteta.
Its a piece of your fertile imagination.
Hata hivyo sioni mantiki ya malumbano nawe kwani sioni points zako zaidi ya chuki yako kwa Nyerere.
Chuki kwa Mwalimu is your personal problem, deal with it.
 
Bwana lole ewew ni mmoja katika wale wanaohitaji counseling wako wengi tu wenye mawazo kama yako hususan kule bongo hatutachoka kuwaomba watumie just common sense na kuacha kusikiliza propaganda for us to move forward we have no choice but to educate you otherwise you gonna take us back to a poor house.

Maalim Sahiba pole sana , nahisi uko ghetto fulani huko ughaibuni.Nyumbani joto kwa kwenda mbele.Dont feel home sick just come back home, hako kabaridi kasije kuua.
Naona bado unatumia maneno ya kizamani'propaganda" siku hizi hapa nyumbani ni soko huria,uwezo wako tu.
Wajanja wanaleta hata Vogue kwa ndege huko hutathubutu! Nafasi yako hapa, Mzee Hosea asikuone tu.
Karibu nyumbani Maalim.
 
Anayo ardhi kubwa sana kule Kingoruhira, Morogoro. Aliipata akiwa Ikuru,hivyo aliipata kwa kutumia kofia ya jumba hilo. Ni ardhi kubwa isiyotumika ambayo wangepewa wawekezaji ikalimwa na kutatua tatizo la njaa nchini.

Hata ardhi hiyo ikitolewa na kutumika kwa kilimo haitasaidia kutatua tatizo la njaa kama unavyohisi au kudai. tatizo la NJAA tanzania linasababishwa na mambo kadhaa ARDHI si moja wapo.
 
Back
Top Bottom