Naibu spika aahirisha kikao cha Bunge saa 11 leo jioni.

Giroy

Member
Dec 17, 2008
82
7
Nimesikitishwa na habari kuwa kikao cha Bunge ambacho kilipaswa kufanyika leo saa 11 jioni kiliahirishwa, kwa sababu ya kukosekana kwa watendaji wa serikali. Hii inatisha sana, inaonyesha waheshimiwa mko Dodoma kutembea. Fanyeni kilichowapeleka Dodoma, acheni kutumia muda vibaya, huo ni ubadhirifu. Angalieni umaskini wa nchi hii ambao unasababishwa uzembe kama huo.

SITANII.
 
Inabidi wawajibishwe!...maana watu walipromise mengi sana wakati wa campagin na wakishachaguliwa utelekezaji wao unakuwa finyu...Inabidi Naibu speaker (mama Anna) awawajibishe hawa viongozi wetu...she is a very strong lady!.
 
sababu ulipelekea waahirishi bunge inajulikana? lets know the reassons then we can judge the person respectively
 
sababu ulipelekea waahirishi bunge inajulikana? lets know the reassons then we can judge the person respectively


Sababu ni kwamba mawaziri hawajatokea bungeni...na hawajulikani walipo na of course bunge haliwezi kufanyika kama hakuna mawaziri so they are basically holding it up mpaka kesho na wasipotokea then something serious will happen...(from Jikoni)
 
if this is the case this is serious now!? hainiingii akili mawaziri ambao ni wabunge na wapo chini ya bunge wanapokuwa kwenye shughuli za bunge the watendaji wakuu wa bunge hawajui walipo?!

na kwanini kama walikuwa na ermengecy za kazi ambazo ni muhimu inawezekana wote ikawa siku moja, kuna haja yakujua utendaji wa bunge letu kikamilifu maana wapo pale kwa maslahi ya taifa letu na wananchi wake sasa kama bunge linaahirishwa kwa reasons ulizotoa hapo juu this is very ridiculious!

Naamini spika wetu anayefanya kazi kwa speed and standard atakuwa amepata majibu ya kuridhisha na ya kumtosheleza kwa jambo hili.

maana yake kweli wengine walikuwa na sghuliki za lazima za kiserikali kama MH. Membe alikuwa na rais kumpokea rais wa Zambia.

thx
 
Back
Top Bottom