Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,839
Maalim, hapa kiswahili chako kimeniacha mbali sana... Nadhani mi wa kuja. Kuna slang au?
... maana'ke; linaloshindikana. Kiswahili chapishana yakhe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maalim, hapa kiswahili chako kimeniacha mbali sana... Nadhani mi wa kuja. Kuna slang au?
...marriage is an institution whereby, those in wish were out, and those out wish were enrolled in it!
Ndoa raha bana...
..kweli inahitaji uvumilivu sana, kwasasa naanza kufurahia ndoa baada ya kunipumzisha roho yangu, na ile dhana ya kujuta imefutika.
Binafsi mawazo hayo hayajawi kupita katika kichwa changu,sana sana siku ambayo wife atakuwa amenitibua kidogo ambalo ni jambo lisilozuilika,naweza kuwaza kama pangekuwa na tofauti kama ningeoa mwanamke mwingine tofauti na yeye,ambalo mwishowe jibu lake uwa ni hapana.
Lakini sijawahi na sidhani kama nitakuja kuwaza kuyarudia maisha ya useja,sana sana nahisi nilichelewa kuoa.
To be honest at times you think how would it be if I were single!!! but when I think of the many things (sweet marital life, sweet family life, the sharing of sorrows, the plans you put together, the legal ownership of ur mate, the etc (u can name millions)) I just can never wish to be single, I am a hunderd times healthier having my spouse always next to me.
Sahiba ni mmoja kati ya wale wanaojuta maana dada zetu sometime unamaliza mbinu zote jibu hapana sawa na shikio la kufa.Ndugu zangu msijaribu wanugu matatizo eh.
SAHIBA.
unachotakiwa kujua huko peke yako, muombe mungu wako atakufunulia tuu. Jamani pia wadada msiogope kuwaambia ma partner wenu kuwa wanawabore katika hiki na kile. Kimya hakisaidii kabisa, ongea, ongea naye na kisha zungumza naye.
A professor once said that the reason why women rejoice greatly during their weddings while the men keep a straight faces was because, the woman feels like:"oh, at last I have nailed him!" and the man laments:"Oh, what a fool I have been; trouble was on its own and I went to buy it for myself, now I'm no longer going to be free!"
The question is:
Do you sometimes wish you weren't married or that your marital status could be suspended even for just a few hours? Please sincere answers will be appreciated.
Unaweza nifafanulia hapo.. baadya ya kupumzika?
Unachotakiwa kujua huko peke yako, muombe Mungu wako atakufunulia tuu. Jamani pia wadada msiogope kuwaambia ma partner wenu kuwa wanawabore katika hiki na kile. Kimya hakisaidii kabisa, ongea, ongea naye na kisha zungumza naye.