Recent content by babaT

  1. babaT

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

    kitaeleweka tu ukizingatia wana Mara hawana nidhamu ya uoga
  2. babaT

    Chadema ina sura ya Muungano ina mbunge toka Pemba

    Ni mbunge kama alivyokuwa Baba yake January bunge lililopita
  3. babaT

    Tanzania: Kushuka kwa thamani ya shillingi, mfumuko wa bei na siasa zetu!

    Bado Gavana na Waziri wa Fedha kwa confidence zote wanatuambia uchumi unakua, sasa unakua vipi wakati mfumuko wa bei unaongezeka! imefika wakati watendaji wasiwe wanasiasa
  4. babaT

    Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    That's obviously
  5. babaT

    Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

    Inatisha kwa kweli! wakati umefika viongozi wetu wakajenga utamaduni wa kuwajibika
  6. babaT

    Bunge Limehairishwa... Ni kipi cha maana kilichofanyika?

    Godbless Lema atabakia kuwa shujaa wa kikao hiki kilichomalizika leo
  7. babaT

    Hivi Makamba anawaza nini?Hii ya juzi amenishangaza!

    mzee wa watu kajichokea mpaka akili
  8. babaT

    Kumekucha: Wanakijiji wachoma matrekta 20 ya wawekezaji Babati

    nawapa pongezi kwa kuonyesha hisia zao kwa vitendo
  9. babaT

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    propaganda za kisiasa, hapa wanajaribu kuwasahaulisha watu mada ya Dowans
  10. babaT

    Cha kufanya siku ya 5/2/2011

    ndio siku murua ya kufanya maandamano kama ya Tunisia, Egypt na Yemen
  11. babaT

    Loan board kwa hili mnastaili kulaumiwa

    Cha msingi Loan Board kila wakituma fedha vyuoni wawe wanaweka wazi even katika website yao tu kuwa hela za wanafunzi wa Vyuo kadhaa na majina wayataje zimekwenda tarehe fulani, otherwise huu mchezo wa wahasibu wa vyuo kuziweka katika fixed A/C na kula cha juu hautakwisha
  12. babaT

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Baada ya kugundua kuwa wasomi ndio wanatoa changamoto, inawezekana kabisa serikali hii ya CCM imeamua kuzalisha kizazi cha wajinga ili iendelee kutawala, personally sikuona sababu ya msingi ya kufuta mitihani ya kidato cha II na hiki ndicho tulichovuna
  13. babaT

    UvCCM wahaha kurudisha imani ya vijana kwa CCM

    wanajidanganya kwa kudhani kuwa wataungwa mkono na movement yao ya kinafiki
  14. babaT

    Meya wa CCM abwaga manyanga!

    busara imetumika
Back
Top Bottom