Cha kufanya siku ya 5/2/2011

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Wakuu,

Tarehe 5/2/2011 jamaa wa ng'ambo ya pili wanafanya sherehe za maadhimisho ya kutimiza miaka 34 tangu kuzaliwa kwa kundi la sisiemu....

Wakati huohuo SIKU HIYO kuna members wengine hapa ndani watakuwa na CHAI-DAY (tea-party??), ambapo watakutana mahala na kujadili mambo ya msingi ya KILIMO KWANZA, wakiangalia na mustakabali wa nchi kwenye habari ya uzalishaji!

Wewe kama mwanaJF ambaye una uchungu na nchi unashauri mambo gani kadha wa kadha yafanyike siku hiyo ili mradi kuonyesha kuwa tuko kinyume na kufanya masherehe hasa wakati huu ambapo nchi iko gizani, na kwa namna moj au nyingine ni gharama kwa serikali?

Kwa tulioko pande za huku tumeandaa mpango kamambe wa kuwasilisha hisia zetu siku hiyo, ambao ukifanikiwa mtausikia kwa media!...Tushirikishane!
 
Washeherekee tu. Lakini huku kwenye mapinduzi ya ukweli wajihadhari maana watu wakiona kijani wanapata kichefuchefu. Tena nasikia mitaa ya Daraja Mbili ndio wataanzia. Wasisahau Archugaa
 
Washeherekee tu. Lakini huku kwenye mapinduzi ya ukweli wajihadhari maana watu wakiona kijani wanapata kichefuchefu. Tena nasikia mitaa ya Daraja Mbili ndio wataanzia. Wasisahau Archugaa
Watasimulia hawa!..
Nataka siku hiyo nishuhudie watu ambao wanaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guiness!
 
..wananchi wahamasishwe kuandamana ili kupinga utawala dhalimu usiaojali maslahi ya wananchi na walipa kodi
 
..wananchi wahamasishwe kuandamana ili kupinga utawala dhalimu usiaojali maslahi ya wananchi na walipa kodi

serikali imelalia masikio, hawasikii la mtu tena sasa hv..matokeo ya 4m four pia yamedhihirisha kuwa sinema za MMEM na MMES ni za fictitious, na impractical...dawa ni kuwa kutumia nguvu ya umma sasa.
 
Ni sawa kabisa ila wana JF wawe mbele ili kama risasi za moto zitatumika itupate sisi kwanza na sio kuwajaza jazba wamachinga wanakufa hata hitma yao hamkumbuki. Je familia za waliokufa kwenye vurugu wamefuatiliwa kupewa msaada wowote wakati ndio umekuwa mtaji?
 
Ni kuandaa kongamano la vijana kupinga mambo mbalimbali ya kidhalimu eg. Malipo ya dowans, ubabe wa polisi, ufisadi na kadhalika. Namuuliza huyu BABA T ndio baba tina au huyu ni mwingine?
 
MOMBOLEZO. Tunatakiwa kuandaa maombolezo ya kitaifa siku hiyo kwa sababu tulichokishuhudia katika miaka 34 iliyopita ni kifo cha taifa. Kama uongozi wa nchi ukibakia kwa CCM kwa miaka mingine michache ijayo, ni dhahiri kuwa hatutakuwa na taifa tena. Hivyo, kwangu mimi, siku hiyo inaashiria msiba mkubwa.
 
Haki Mpita Njia nakuunga mikono yote na miguu pia katika hili; MAOMBOLEZO KITAIFA; hilo ndilo the right move, NATIONAL LAMENT.....and may that turn out to be the day CCM will know that it is DEAD.....to many of us and it has brought DEATH to the majority....CCM has failed TANZANIANS, instead it has benefited few who use every possible means to remain in power ili waendelee kushiba huku majority wanahangaika kila kukicha; why? and for HOW LONG?.....
 
Nadhani nitakaa na watanzania wenzangu tukijadili maovu ya CCM na kupanga mikakati ya msingi kuchukua nchi. Tanzania bila CCM inawezekana, tuanze sasa!
 
MOMBOLEZO. Tunatakiwa kuandaa maombolezo ya kitaifa siku hiyo kwa sababu tulichokishuhudia katika miaka 34 iliyopita ni kifo cha taifa. Kama uongozi wa nchi ukibakia kwa CCM kwa miaka mingine michache ijayo, ni dhahiri kuwa hatutakuwa na taifa tena. Hivyo, kwangu mimi, siku hiyo inaashiria msiba mkubwa.

Ni kweli siku hiyo ni siku ya msiba mkubwa
 
Ni kweli siku hiyo ni siku ya msiba mkubwa

Msiba mkubwa kwa CCM ya sasa. CCM ile ya 1977 hadi 1987 ilikuwa nyingine kabisa. Unaweza ukadhani CCM ya sasa ni chama kingine kabisa! Hata hivyo CCM ilisajiliwa upya mwaka 1992 chini ya mfumo wa vyama vingi.
 
nahisi pia vyombo vya habari karibu vyote vitarusha live sherehe zao.
kama vp yatakayoendelea upande wetu,vikao,maombolezo nk nasi turushe live stesheni kadhaa.
 
Ushauri wangu tarehe 5/2/2011 watu wote wavae nguo nyeusi kuomboleza na na kuonyesha kwamba ni siku nyeusi kwa WaTz!! mwanzo wa safari ndefu ni hatua moja mbele.
 
Ushauri wangu tarehe 5/2/2011 watu wote wavae nguo nyeusi kuomboleza na na kuonyesha kwamba ni siku nyeusi kwa WaTz!! mwanzo wa safari ndefu ni hatua moja mbele.

kwanini tusiandamane tukiwa tumevaa nguo nyeusi.
 
we will be wailing like the wailers did! safi sana jamani hakuna yeyote atakeyekuja kutukomboa zaidi ya sisi wenyewe
 
I hereby declare this day of February 5th, 2011 as a NATIONAL LAMENTATION DAY in Tanzania since that day CCM was officially registered as a sole political party and has ruled this country to devastated poverty.
 
unajua hii kitu ikifanyika vizuri.., jambo dogo linaweza lika-attract attention..., mfano wanavyuo / machinga na waendesha pikipiki, makonda wakivaa nguo nyeusi au kitambaa cheusi na wakaendelea na shughuli zao kama kawaida hii inaweza ikavuta media attention.....
 
nimeanza kuona logic hapa....
 
Back
Top Bottom