Chadema ina sura ya Muungano ina mbunge toka Pemba

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Katika mkutano huo Kiwia(Chadema-Ilemela) alifuatana na wabunge wa viti maalum wa Chadema Raya Ibrahim (Pemba) na Chiku Abwao (Iringa).

Hongera Chadema polepole vunja ngome ambayo CCM wameishindwa.

Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom