Recent content by babaray

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kambi Gani ya JKT Inamafunzo Magumu?

    Kama amekwambia kapangiwa MAKUTOPOLA ametapeliwa.. Makutopola ni kambi ya malezi ya jkt na sio kambi ya mafunzo..
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari na icon ya wanawake wenye uthubutu "Mboni Masimba" kujiunga na CCM

    mkuu hebu niweke vizuri ni yule mboni aliye andikwa na vyombo vya habari kwamba alisaidia kumlegeza magoti eto'o mpaka hakutufunga ndio huyu.?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    Hebu acha kuandika ufala. hao wawakilishi akina Hawa Ghasia si ndo wanafanya hivyo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Mkutano Mkuu Chadema Wasakwa kwa simu!

    Koffie mbona unamtete sana huyu.? we mke wake nn? tujuze
  5. B

    JamiiForums Tanzania Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

    W. J. Malecela Jamaa hana tofauti na baba yake. Si mnakumbuka hata Nyerere alimfananisha Malecela sawa na MZOGA hauachi kutoa halufu. Amemlisisha na huyu mwanaye, naye ni MZOGA.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Mkuu hv uko dunia hii kweli..? Ina mana hujui hyo mtoto mkristo alipata wapi qurani..?
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA should stop boycotting – CCK

    nngu007 Jamani hv hyo viti vya nyumba si vya bar..? mbona mazingira yenyewe kama ya bar.? Ina maana hawa CCK hawana ofisi?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nguvu hii ya CHADEMA, Mwalimu Nyerere leo angekuwa HAI, angeendelea kukumbatia KADI ya CCM?

    Bila shaka unatumika ww.. Tena unatumika vibaya sana. " HERI UCHAKAZE NGUO KULIKO KUCHAKAZA AKILI "
  9. B

    JamiiForums Tanzania Chadema badilikeni!

    Wadau nina mashaka na Halmashauri ya akili ya huyu ndugu yetu MAFILILI.. HIVI JANA WAISLAM WALIOMBA KIBALI KUTOKA KWA NANI..????????? " HERI UCHAKAZE NGUO KULIKO UCHAKAZE AKILI "
  10. B

    JamiiForums Tanzania JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

  11. B

    JamiiForums Tanzania JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    <BR><BR><FONT size=4><STRONG>mkuu hv unatumia kichwa kufikiri au unatumia ******..?</STRONG></FONT>
  12. B

    JamiiForums Tanzania Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

    mkuu kama huna madini ya kuchangia nenda fb mkaendeleze umbea huko.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

    Yap mkuu, hilo nalo neno wanataka kutusahulisha matatizo ye2.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sikiliza hii:-

    hizo shudu, tema madini.
Back
Top Bottom