Sikiliza hii:- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikiliza hii:-

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bongoclever, Aug 2, 2012.

 1. Bongoclever

  Bongoclever Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baada ya ndoa,mume na mke wakawa wamekaa wakizungumza.Basi mwanamume akamwambia mkewe
  Mume:Kuna vtu vwili nataka kukwambia,
  Mke:Niambie mume wangu.
  Mume:Lakini kimoja kinafurahisha na kingine kinahudhunisha,je ungependa nianze na kipi?
  Mke:Anza na kinachofurahisha.
  Basi yule mwanamume akafungua zipu yake na kumwonyesha mke wake jinsi alivyobarikiwa kuwa na Uume mkubwa! Basi mke wake akafurahi sana kuona mwanamme wake ana uume mkubwa.Basi yule man akamwambia mkewe hv:
  Mume:UNAVYO UONA HUU UUME ULIVYO MKUBWA?LAKINI HAUDINDI! Mwanamke alizimia palepale...
   
 2. b

  babaray Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hizo shudu, tema madini.
   
 3. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Ama kweli kuchekesha kipaji
   
Loading...