Mwanahabari na icon ya wanawake wenye uthubutu "Mboni Masimba" kujiunga na CCM

kila mwenye njaa na msaka mafanikio haramu bila jela ni lazima atahamia ccm, sasa kwa huyu Demu haishangazi kabisa, kule asipoweza kuiba anaweza hata kutumia papuchi yake akaukwaa ubunge hata uwaziri, sasa kwa nini asitumie njia ya mkato!?

Ukiwa ccm unaweza kuiba na ukapeta tu, watu wakichonga saaana unaweza kupewa muda na Rais wa kurudisha ulichoiba tena kimya kimya!
ulitaka ajiunge na chama gani mzee? au unafikiri yeye hautaki ukuu wa wilaya kwa kugawa tu uanamke wake!?
 
Mbadilike ndugu zangu sasa mnaonekana mu wabinafsi mpaka mnakera.Yaani mtu maarufu akijiunga CCM kama ni mwanamke tayari hamkawii kumzushia kuwa ni chakula cha akina flani lakini angejiunga na Chadema ungeanza kumsifia kama unavyomsifia Joyce Kiria leo hii ila ngoja Bi Joyce naye ahame Chadema nina uhakika kasoro zake ndio mtaziona siku hiyo.To add,Hata Chadema Makada wanawake wanagegedwa sana na Viongozi wakuu au mmesamhau Mh Joyce Mukya?Na Grace Kiwelu je?Tufanye siasa za hoja tuachane na siasa za kuchafuana kwasababu hazijengi.Machafu yanayofanywa na MaCCM na hata Viongozi wa Chadema wanayafanya hayo hayo na ndio maana baadhi yetu haitatokea tukawaunga mkono baadhi ya Viongozi Chadema kwasababu kitabia na kimienendo hawana tofauti kabisa na hawa tunaowachukia wa CCM

Hiii POST yako ni #12 hapo juu nimetafuta mtu aliyepinga au kukandia au kusema lolote baya kuhusu ujio wa huyu dada kwa MACCM sijaona.
Je ndugu yanhu wewe umeyatoa wapi maneno haya?

au ulishahandaliwa kupost haya ukitegemea watu wataponda? watu wamepongeza sana na wanamtakia kila laheri huko kwa MACCM maana wengine huwa hawamini hadi waone/wajionee wenyewe.
 
ulishahandaliwa. Kweli kiswahili kina wenyewe!
 
Hiii POST yako ni #12 hapo juu nimetafuta mtu aliyepinga au kukandia au kusema lolote baya kuhusu ujio wa huyu dada kwa MACCM sijaona.
Je ndugu yanhu wewe umeyatoa wapi maneno haya?

au ulishahandaliwa kupost haya ukitegemea watu wataponda? watu wamepongeza sana na wanamtakia kila laheri huko kwa MACCM maana wengine huwa hawamini hadi waone/wajionee wenyewe.

Hukuona kuna jamaa hapo niliyemjibu alifikia hatua ya kumtukana huyu dada B.I.T.C.H na mwingine akadai kwamba huyu dada anajiuza kwa wachezaji wa nje na wanamuziki pale Serena Hotel au hukuziona hizo posts ndugu yangu?Mimi ninapenda kuona hizi siasa za kujadili hoja na kujadili maisha ya watu binafsi,Chadema tuwe mfano kwa vijana wa Vyama vingine wakitokea wahuni kama hawa na midomo yao ya c.h.o.o wakataka kuchafua taaswira ya Chadema kwa posts zao za kihuni huni tunawapa za uso tu.Ulusinde wao wakaufanyie huko CCM.
 
Hiii POST yako ni #12 hapo juu nimetafuta mtu aliyepinga au kukandia au kusema lolote baya kuhusu ujio wa huyu dada kwa MACCM sijaona.
Je ndugu yanhu wewe umeyatoa wapi maneno haya?

au ulishahandaliwa kupost haya ukitegemea watu wataponda? watu wamepongeza sana na wanamtakia kila laheri huko kwa MACCM maana wengine huwa hawamini hadi waone/wajionee wenyewe.

Hukuona kuna jamaa hapo niliyemjibu alifikia hatua ya kumtukana huyu dada B.I.T.C.H na mwingine akadai kwamba huyu dada anajiuza kwa wachezaji wa nje na wanamuziki pale Serena Hotel au hukuziona hizo posts ndugu yangu?Mimi ninapenda kuona hizi siasa za kujadili hoja na kujadili maisha ya watu binafsi,Chadema tuwe mfano kwa vijana wa Vyama vingine wakitokea wahuni kama hawa na midomo yao ya c.h.o.o wakataka kuchafua taaswira ya Chadema kwa posts zao za kihuni huni tunawapa za uso tu.Ulusinde (matusi) wao wakaufanyie huko CCM.
 
Sio bure. Lazima watakuwa wamempa ofa ya maana kuwahoji viongozi wa ccm na kusafisha jina. Hamna kingine kipya hapo. Na uchaguzi unavyokaribia we angalia vipindi vyake Kuanzia sasa. Siasa za bongo hazina akili kubwa hususani zikiwa zinaongozwa na ccm
 
Kaka, na wewe ulishawahi kuwa mwana Chadema hapo kabla uakaenda CCM tena? Huwa naona post zako nyingi ni kama za majuto saana na kama huwa unaumizwa na kitu fulani ambapo hapo kabla ulikuwa unakitumikia ila imebidi tu katika kuiacha. Naona post zako nyingi zinafanana sana watu kama mwampamba, Shona, Kisandu na wengine wanaofana na hao. naomba kujua tu sina nia mbaya kwako

Karibu nyumbani dada Mboni
 
sio bure. Lazima watakuwa wamempa ofa ya maana kuwahoji viongozi wa ccm na kusafisha jina. Hamna kingine kipya hapo. Na uchaguzi unavyokaribia we angalia vipindi vyake kuanzia sasa. Siasa za bongo hazina akili kubwa hususani zikiwa zinaongozwa na ccm

yani bavicha ni waajabu sana,yani mtu akijiunga kwa wengine ni kosa hila akijiunga kwao ni sawa.

Mna matatizo makubwa sana bavicha.tunajua mtamtukana kila aina ya tusi kisa hajajiunga chadema.

Hongera mboni.
 
mkuu hebu niweke vizuri ni yule mboni aliye andikwa na vyombo vya habari kwamba alisaidia kumlegeza magoti eto'o mpaka hakutufunga ndio huyu.?

Ndie huyo huyo... Sasa anataka akawalegeze wazee wa ccm
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom