Wajumbe Mkutano Mkuu Chadema Wasakwa kwa simu!

Gazeti la Mwananchi linatumika mara nyingi na Zitto katika ajenda zake pamoja na Raia Mwema ingawa siku za karibuni Raia Mwema wameacha upuuzi

Pia latika kutumika huko kwa mwananchi kwa kumtumia Dennis Msacky na Boniface Meena(Sio Neville Meena) wamekua katika style ya kumhujumu Slaa na Mbowe.Pia hawathubutu kuichafua Chadema kwa kuwa ajenda yao itajulikana.Wanachofanua kiujanja ni kumpiga mchungaji ilii kondoo watawanyike

Pia Kama Dr.Slaa amekuta madudu hayo si ndiyo vizuri ili achukue hatia maana lengo la ziara yake ni kufanya ukaguzi?
 
Le Mutuz how about YOU work on issues Esther Wassira so rightly told u,
Yoù just get by jabbin your big ha hah aha mouth that's she's kilaza...far too low

- Mtoto mdogo Ester wenu nilimpa facts kwamba hana uongozi wowote hata wa kata, the inly thing she has ni jinala kiongozi wa CCM, wenye akili nyingi humu JF wakaizika ile thread, unafikiri humu ndani wote wana akili kama zako za kushikiwa? ha! ha! ha1 ha!

- Mkutano wa Wilaya tu unawashinda, Katibu Mkuu mzima anabaki peke yake badala ya kujiuliza what is wrong, mnaanza kujidanganya hapa ukweli ni kwamba hakuna kiongozi wa wilaya asiyelipwa anaweza kukubali kuja kwenye mkutano na KAtibu aanayelipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi bila sababu, tumia common sense japo kidogo tu!

Le Mutuz!
 
Uwongo huu wa huyu mzee ndio umenifanya nikaandika kuhusu yeye na maisha yake. Dr.Slaa halipwi na hajawahi kulipwa 12 milioni kwa mwezi.......huyu ni mtu muongo na kwa kuwa hajawahi hata kuwa kiongozi wafamilia leo anajifanya anaweza kuongoza wenzake.... Huyu jamaa ni Chakaramu wa kutupwa..ll.llll

- Chakaramu? Kuolewa na mke na kuishi ulaya kwa kutegema mke ndio uchakaramu, kuishi ulaya kwa kuuza chupi za wanawake dukani ndio uchakaramu, mimi mzee kuliko wewe? ha! ha! ha! ha! mimi muongo kuliko wewe? ha! ha! ha1 vipi yule mke wa mdogo wako? ha! ha1 ha! ha! aibuu tupu!!

- WEwe unishi Ulaya iuna maana hata msahara wa Slaa hujui uliza basi uleimishwe wewe, mambo ya bongo tuachie huku wewe huwezi huku, bongo inataka wanaume sio nale nale na kulishwa na wanawake, ebo! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
By Kiranja

Kama wanasiasa wetu ndo hawa, I fear for this country, Kweli nimeamini wenye busara na wanapokaa kimya wapumbvu hutamalaki na kujisahau
 
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz!

Umesahau baba yako alivyofukuzwa mkutanoni na Mwl Nyerere baada ya kutaka kuuza nchi......Umesahau baba yako alivyobadili jina akiwa Waziri Mkuu na kujiita Jumanne ili auze nchi kwa waarabu kwa ahadi ya visima vya mafuta? Au unafikiri hatujui ngoja wanaokufahamu zaidi wakushushie nondo zako hapa!
 
Back
Top Bottom