huyu jamaa bwana anajikuta msoomi na elimu yake yakuunga unga isiyo hata na faida kwa jamii. tafta boat nenda mtera kasaidiane na nduguzo katika uvuvi na sii kujisia ohh na kampuni, oooh kiongozi loooh shame on you broh at your age ulitakia utulie ufanye mambo ya msingi na cyo kuuza sura na vijischana vidogodogo ama kweli elimu yako wewe haijakukomboa bora huyo form six... Hebu jilinganishe wewe wa chuo na Sugu wa form six..then utaona kama elimu yako imekukomboa...- You see akili ndogo inayoongozwa na Form Six, yaani wewe uongozi kwako ni kusaidia jamii yako kwanza je jamii za wengine ambao hawana kiongozi? Sasa unaona kwamba ni kujadili na Kilaza hapa? ha! ha1
Le Mutuz!!
Yaani kuna msemo mmoja niliwahi kuambiwa.: If you don't know, and you don't know that you don't know, you are just like a dead person. If you know that you don't know then, life begins. Fools die. Mimi nafikiri tuzungumze context ya interview yake. we should not take this personal "by the way Ester ni mtoto wa wasira mkubwa sio mdogo".- ha! ha! ha! going down mimi au Chadema? ha! ha! ha! Kazi kukumbatia mediocre kama huyu kilaza mwenye only one qualification mtoto wa Wassira mdogo! ha1 ha!
- Yaani kweli wewe in your right mind unaweza nilinganisha mimi na huyu Kilaza? Pleasee!!
Le Mutuz!!
- Sasa wait huyu Ester sasa hivi anakumbatiwa, ajaribu tu kusema anataka kugombea urais, utaona atakavyopigwa mawe kwamba ni msaliti, maana hiyo nafasi yakugombea Urais na Mwenyekiti wa Chadema, ni lazima wawe Viongozi wawili wanaoshindwa kila uchaguzi, Slaa na Mbowe tu!!...
Hebu naomba tujiulize kwanza mbunge ni nani na ubunge ni nini? Kazi ya mbunge ni kuwakilisha jamii katika vyombo mbalimbli vya utawala na vya kijamii. Hivyo Esther kuitwa mbunge si tatizo bali hilo linatokana na jinsi yeye anavyoiwakilisha jamii inayomzunguka katika masuala mbalimbali ya kijamii. Umuhimu wa mtu yeyote katika jamii inayomzunguka huwa haitokani na utitili wa vyeti vya shuleni, bali busara zake. Kesho Esther huyu kupewa ubunge au uongozi wowote ndani ya chama si bahati mbaya wala upendeleo, bali atakuwa ameupata kutokana na uwezo wake. Kwangu mimi siwezi kushangaa mtu kama Le Mutuz kupewa cheo ndani ya CCM pamoja na pumba zake, ila nitashangaa kama akiingia CDM akapewa hata nafasi ya ubalozi wa mtaa kwani pamoja na kukaa kwake ulaya naona hakuna alichovuna ukilinganisha na dada yake Dr. Mwele.- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!
- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!
- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!
Le Mutuz!!
Esther Wasira ni msomi aliyebobea kwenye sheria, ana Upper second ya nguvu tena kutoka Chuo maarufu barani Africa, hatuwezi kushindanisha umegombea nini na wapi, tunashindanisha hoja na CV.
Hebu naomba tujiulize kwanza mbunge ni nani na ubunge ni nini? Kazi ya mbunge ni kuwakilisha jamii katika vyombo mbalimbli vya utawala na vya kijamii. Hivyo Esther kuitwa mbunge si tatizo bali hilo linatokana na jinsi yeye anavyoiwakilisha jamii inayomzunguka katika masuala mbalimbali ya kijamii. Umuhimu wa mtu yeyote katika jamii inayomzunguka huwa haitokani na utitili wa vyeti vya shuleni, bali busara zake. Kesho Esther huyu kupewa ubunge au uongozi wowote ndani ya chama si bahati mbaya wala upendeleo, bali atakuwa ameupata kutokana na uwezo wake. Kwangu mimi siwezi kushangaa mtu kama Le Mutuz kupewa cheo ndani ya CCM pamoja na pumba zake, ila nitashangaa kama akiingia CDM akapewa hata nafasi ya ubalozi wa mtaa kwani pamoja na kukaa kwake ulaya naona hakuna alichovuna ukilinganisha na dada yake Dr. Mwele.
megundua kubishana na huyu jamaa nitapoteza mda na nguvu zangu sana anajiona msoomi hebu mwambieni aweke vyei vyake na ester aweke vyake tuone nani kilaza kati yao anatutisha kwa kusomea nje looh huyu jamaa bhaana leo nimemshusha vyeo vyake vyoote
Mbona hueleweki ndugu yangu? Ulisema Esther ni kilaza, baada ya kuambiwa yeye ni mwanasheria tena mwenye uwezo mkubwa sasa unahamia kwa mwenyekiti, kuwa mwangalifu.- HA! HA! HA! OK SASA CV KAMA HII ANAKUWAJE NA MWENYEKITI AMBAYE HANA HATA DEGREE MOJA TU? SI NDIO NINASEMA CHAMA CHA KUKUMBATIA MEDIOCRE, YAANI KWA VILE NI MTOTO WA WASSIRA MDOGO TU BASI NI RAIS WA CHADEMA, HUZUNI SANA JAMANI!!
Le Mutuz!!
Hebu tuambie labda hatuelewi, kwani Esther ana cheo gani Chadema?- Wewe usiniletee uchuro niingie wapi? Na mimi nije niongozwe na mtoto wa Wassira mdogo just that qualification? ha1 ha1 ha! ha! Sasa mtoto tu wa mdogo wake mnashobokea hivi je akija Wassira mwenyewe huko Chadema si ndio atakuwa Rais wenu, yaani chama hakina hata kanuni, ukiwa mtoto wa kigogo wa CCM ukiingia huko automatically unakuwa kiongozi hata kama kigogo ni baba mdogo tu inatosha, ukame wa majina na viongozi wenye uwezo, huruma sana!!
Le Mutuz!!
Mbona hueleweki ndugu yangu? Ulisema Esther ni kilaza, baada ya kuambiwa yeye ni mwanasheria tena mwenye uwezo mkubwa sasa unahamia kwa mwenyekiti, kuwa mwangalifu.
uchu wa madaraka bhaana JIBABA la miaka 50 na zaidi ajilinganisha na binti wa miaka 25... unatia hurumawe jamaa tafta kufanyiwa maombi ufunguke.. alafu alokuambia ukapoteze mda USA nani?? watoto wenzio wahao wanaojiita vigogo waliwahi kurudi na wengine walibaki wakala mashavu wewe ndo unashtukia leo matokeo yake unajaa jazba tuu badala yakutoa hoja khaaaa.... Hivi hujiulizagi tuu ilikuwaje Mr matusi akamshinda mshua wako?? Siasa ya kibongo imeulaani ukoo wenu dats y hata bi mkubwa juzi kaangukia pua.. Kuna cku utakuja tukana CCM wewe. tuombe tuu uhai maana naona umepanik sana- Wewe huyu hana anything ni mtoto wa Wassira mdogo tu waziri wa CCM, aibu sana kwa great thinkers kushobokea mediocre kama hizi, jipangeni tena huyu ajika CCM hata katibu wa kijiji hapati cause hana lolote, ni huko tu Chadema ndio anaweza kuwa kiongozi wa JF pia, Chadema mnatia huruma sana!1
Le Mutuz!!
Hebu tuambie labda hatuelewi, kwani Esther ana cheo gani Chadema?
uchu wa madaraka bhaana JIBABA la miaka 50 na zaidi ajilinganisha na binti wa miaka 25... unatia hurumawe jamaa tafta kufanyiwa maombi ufunguke.. alafu alokuambia ukapoteze mda USA nani?? watoto wenzio wahao wanaojiita vigogo waliwahi kurudi na wengine walibaki wakala mashavu wewe ndo unashtukia leo matokeo yake unajaa jazba tuu badala yakutoa hoja khaaaa.... Hivi hujiulizagi tuu ilikuwaje Mr matusi akamshinda mshua wako?? Siasa ya kibongo imeulaani ukoo wenu dats y hata bi mkubwa juzi kaangukia pua.. Kuna cku utakuja tukana CCM wewe. tuombe tuu uhai maana naona umepanik sana
Do you have something personal with Esther? Maana naona kama ni wivu zaidi kuliko hoja. Hebu wewe tumia jina la Malecela tuone kama utapata hata robo ya umaarufu wa binti huyu mdogo- It does not matter wote ni vilaza tu huko kassoro Zitto, MWanakijiji, na Dr. Kitila wengine wote huko ni vilaza tu, sasa unaona hakuna mtu mwingine huku duniani wa kuwapa makavu live nyie Chadema bendera, onle me The King Of All Network Social Media in bongo, ndiye peke yangu ninaweza kuwapa makavu live tena za uso!!
- Wacheni kushobokea majina, wacheni kushobokea mediocre, mnazimikia sana majina yaani jina la Wassira tena mdogo tu sio Tyson mwenyewe mnashobokea hivi, sasa huyu tayari mmeshampa ufalme maana hamna viongozi vichwa huko, yaani ni huzuni sana!!
Le Mutuz!!