BOLDS: una umakini gani? katika lipi? au katika kupanga mipango ya wizi, au umakini wako upo ktk lipi? TUELEZE.
CDM wanaleta vurugu ee! NA MAKABURU walisema hivyo2 ANC ya AKINA MANDELA inaleta vurugu ili nchi isitawaliwe, isitawaliwe na nani? na wezi eti? CDM wanavurugwa, wanatanywa ... na CCM inayotaka CDM isifanye shughuli zao za kisiasa. CDM ni chama cha siasa, kwa ajili ya harakati za kisiasa za kushika dola (siyo NGO ya kukaa ofisini na kutoa matamko) - CDM haiwezi kukubali kuzuiwa kufanya siasa, na hasa ikikumbukwa kuwa CCM tangu vyama vingi vianze 1992 kete yake ya kuombea kura ilikuwa ni kwamba 'msiwachague hawa, wao ni vyama vya msimu' sasa mbona CDM inataka iwe chama cha kudumu kama CCM walivyokuwa wakiomba iwe, mbona inakuwa nongwa tena? CDM WASIKUBALI, kama noma naiwe noma...
KAMA CDM ni genge la wapiga porojo, sasa si ndo sawa kwa serikali iliyo madarakani maana wananchofanya ni porojo tu, sasa mbona tena noma? HUNA HOJA MAFILILI ...