Recent content by BabaLove

  1. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    Jiweke wazi acha kuzunguka
  2. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Wanetu wanakua kama dem ambae hajakazwa sku nyingi so hasira za karibu karibu kwa vitu visivyo na msingi.
  3. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Anayejua huduma ya Vodacom Mgodi

    Mi walinza na 50k Ila wakanipa 43k. Nilipowalipa wakapandisha mpaka 100k, nikakopa wakanipa 86k, yote nimewalipa on time ila wamegoma kupandisha kiwango cha mkopo.
  4. BabaLove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu, mke wangu nimemchoka

    Mh! Hiyo ni Titanic-Sub jiokoe haraka.
  5. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nini cha kuangalia mabaki ya Titanic mpaka kuhatarisha maisha?

    Yani 4km chini ya habari tu hapa hapa duniani kwetu watu wamesepa mazima na bado kuna watu wanaamini kua mtu amewahi kukanyaga mwezini! Lakini mtu unawezaje kuweka rehani uhai wako kwa kupanda kile kidude? Chini ya bahari kuna mambo mengi sana.
  6. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Hivi ile story kuhusu hiki kiumbe ni kweli? Je ndio hiki?

    Hawa wahuni tu wanatafta 'vyuwa'
  7. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Hivi ile story kuhusu hiki kiumbe ni kweli? Je ndio hiki?

    Ulimwengu una viumbe wengi sana, kuna viumbe sura ya mtu ila chini mkia wa nyoka, wengine juu binadam miguu ya mbuzi (mfano PAN), wengine juu mtu chini samaki. Na nyingine nyingi tu. Hawa ni viumbe wa kiroho, kumuona labda aamue yeye umuone.
  8. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Wazungu na Waarabu Walichotufanyia Waafrika

    Una hoja kiaina ila kwenye tafsiri za baadhi ya majina hapo umetupiga kamba.
  9. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia ni mzito kuchukua hatua?

    Mtu mwenye karama ya uongozi anaonekana tu, zile 5 hours alizotumia PM jana pale unazani yule mama angezimudu?
  10. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Don Carlo kasema sio tatizo kubwa atakua sawa na next match atakuwa uwanjani.
  11. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

    Ni kweli, Africa mashabiki bado ni changamoto. Mfano mechi ya jana (Al Ahly vs Esperance) tena nusu fainali kabisa naona inapigwa bila mashabiki, uwanja mtupu kabisa.
  12. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Hamsomi vitabu? Yesu alikuwa na ndugu wanne, Yakobo, Yusufu, Simioni na Yuda (Mathayo 13:55).
  13. BabaLove

    JamiiForums Tanzania Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Na mi nieleweshwe hapo, yule mama kama aliishi miaka 2000 iliyopita na akafa, maana yake hiyo 1919 walitokewa na mzimu wake ama ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom