Anayejua huduma ya Vodacom Mgodi

Anayejua huduma ya Vodacom Mgodi

Mi walinza na 50k Ila wakanipa 43k. Nilipowalipa wakapandisha mpaka 100k, nikakopa wakanipa 86k, yote nimewalipa on time ila wamegoma kupandisha kiwango cha mkopo.
Mimi wamenipa 40500...Au wamepandisha riba? Naona wewe walikupa 43000.
 
Generally riba yao ni kubwa mno
Mimi nilikopa 50000 wakaniwekea 40000
nikakopa 105000 wakaniwekea 85000
nikakopa 168000 wakaniwekea 137000
nikakopa 189000 wakaniwekea 157000
sasa chunguza asilimia zao uone kama ni 14 wanayoisema.
Kwa mfano 14% ya Tsh 105000 ni Tsh
14,700 hivyo mkopo ulipaswa kuwa 90,300 ili ukijumlishwa na riba ufike Tsh 105000.
Kwa hiyo kwenye karatasi yao riba ni asilimia 14 ila kwenye utekelezaji riba ni asilimia 19...
Nilipokopa 168000 nikawekewekewa 137000 hapo riba ni 18.5% lakini wakati nalipa wakadai ilipwe 176000 means karibu asilimia 5 ya riba iliongezeka wakati sikuwa nimezidisha muda wa kurejesha.

Hadi sasa kwangu mimi hawa ndiyo wakopeshaji ambao riba yao siielewi inatumia kanuni zipi ila niwe mkweli wameniboost baadhi ya ishu zangu muhimu. Yaani siwazi nikikosa laki mbili nachukua tu kwao.

NB:Mkopo mzuri ni ule unaozaa yaani unakwenda kuuzungusha unazalisha pesa
kwa mfano nilichukua 168000 nikaweka kwenye kipengele fulani cha biashara yangu vifaa vitatu vilifit kwa pesa hiyo kila kifaa kilileta Tsh 8000 na vyote viliuzwa within A week maana yake ni kwamba kwa wastani wa wiki nne nilipata faida nusu ya mkopo walionipatia hivyo nikirudisha chao tayari nina mtaji kamili wa device mbili ambazo zipo huru kabisa.
Mkopo wowote usiozaa pesa nyingine ni kitanzi kibaya muda wowote kinakunyonga kabisa.

Vijana msikae kuwaza riba zaidi wazeni mtapambana vipi kupata faida kupitia fedha mnayokopeshwa ili baadae muwe na mitaji yenu ya kuwazalishia pesa bila riba , mkibaki kuogopa riba mtafeli na hii ina maana ya kwamba usikope kama huendi kuitumia pesa ya mkopo kuzaa pesa nyingine otherwise wakopeshaji utawaona mashetani lakini jiulize wewe umewakopesha wangapi kama ni jambo rahisi.

.
 
Katika huo mkopo wa 105000 unarudisha bei gani? Maana riba yao wanakuwa washakata au unarudisha hio hio elfu 85000?
 
Habarini Wana wa Mungu !!!!

Jamani, Naomba msaada kwa anayejua huduma ya VODACOM MGODI.
Inafanyaje kazi, Usalama wa pesa, Sheria zao, faida, Jinsi ya kuwekeza,...... na Mengineyo!!!

Tusaidiane, Mawazo Kidogo!!!
Nikajua nao wamekuja na jina jipya la
Voda-ndom!!
 
Back
Top Bottom