Recent content by bababrian

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Kuumia ni kiherehere chako umemkuta mtu mzm na uzee wake unaumia kwa kuambiwa ukweli
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Kweli kabisa zimeanza kutoka tukanywe pombe[emoji1739][emoji1739][emoji1739]
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoomba misaada mitaani yadaiwa kuwa ni miradi ya watu. Je, kuna ukweli?

    Hawa nimekutana nao mwanamke mzuri anakuomba 1000 akawanunulie chakula.alaf mida ya night saa1,2 asilimia kubwa wanajiuza kwa njia mpy tuliweka mtego kwa 3 njia zao wanazijua target sio 1000 bali muongee biashara
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoomba misaada mitaani yadaiwa kuwa ni miradi ya watu. Je, kuna ukweli?

    Hawa nimekutana nao mwanamke mzuri anakuomba 1000 akawanunulie chakula.alaf mida ya night saa1,2 asilimia kubwa wanajiuza kwa njia mpy tuliweka mtego kwa 3 njia zao wanazijua target sio 1000 bali muongee biashara
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Mnadaiwa huku mitaani serikali lipen hawa na sisi tunashida[emoji2][emoji2][emoji2]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu

    daaaah kweli
  7. B

    JamiiForums Tanzania Clouds FM acheni Utoto

    wengine tumehamia east Africa radio wababaishaji hao
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

    Mwache tu ale mzigo huyo binti siku akipewa hela hatakwambia
  9. B

    JamiiForums Tanzania Alex Massawe kakamatwa!

    asante mkuu Kwa kufatilia inshu km hizi,wakati mwingine ingia mpaka miamala ya escrow aisee
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

    Kuwa na msimamo umetenda kosa LA kwanza kumtongoza mtoto wa watu Kwa maneno mazuri umechepuka,tena huyohuyo ujiongezee dhambi nyingine mwambie shemeji hilo haliwezekani basi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta loan officers wa kufanya nao kazi

    wale wa micro-credit he unataka
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

    komandoo kitu gani nenda tanga Kwa alshabaab.jide Anajisikia sana Gardner mpotezee yasiwe km ya mbasha kufilaana alafu kutangazana kwenye media
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Gharama za kununua simu hii Online

    5,950,000/pesa ya madafu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

    mlikose mwanzoni 3 Kwa mwezi mko wageni hali ilizidi kubadilika Kwa kukuzoea pili wote mkakutana mnaiga hayo mambo miaka Tisa.yeye kazoe miezi sita hamjagusana itafika mwak.jitahidi kumbadilisha we we Kwa kubadilika,km mlizoea style moja badilisha hata sita atarudi km mwanzo
Back
Top Bottom