acha tu kwa inavyoonekana hadi mlinzi wa getini pale naye atakuwa na beef na lady jay dee.
Hoyaa, shituka wewe... unakosa uhondo; shauri yako!!! Huyo Amalinze mwenyewe aliyeleta hii mada ni fan kindakindaki wa Clouds FM... hapa subiri tu, hamalizi wiki kabla hajaleta mada nyingine kuhusu Clouds!!! Wakati unayafahamu hayo, chukua popcorn huku ukifuatilia haya mautamu unayoyakosa kwa kusikiliza radio za shamba!!!Hivi bado mnaisikiliza hiyo clouds? Mi nilishaacha mwaka wa 5 huu. They have nothing new zaidi ya kutangaza ushoga tu.
CLOUDS MEDIA GRANTED TV LICENSE IN THE UNITED ARAB EMIRATES
Clouds Media International has been granted a TV broadcast dissemination license to launch a TV station in the United Arab Emirates (UAE). With this, Clouds has fulfilled a long time dream to launch a TV station in the Middle East.
---------------------
Although the airwaves in the UAE and the Middle East as a whole are full of TV stations, Clouds Media International has found a unique niche as the station's programming will the 3.5 million residents that are from the African Diaspora.
CLOUDS MEDIA GRANTED TV LICENSE IN THE UNITED ARAB EMIRATES - Corporate Digest
Clouds Media Group opens office in twofour54
Tanzania-headquartered media house Clouds Media Group recently opened an office in Abu Dhabi's media freezone, Twofour54. The new setup is part of the company's efforts to not just target the underserved African disapora in the Middle East but to also, in turn, introduce the region to companies in Africa.
Clouds Media Group opens office in twofour54 - BroadcastPro ME
CLOUDS MEDIA INTERNATIONAL OPENS OFFICE IN JAMAICA
Abu Dhabi based Clouds Media International today announced the opening of a new office in Kingston, Jamaica that will serve clients in the ...
Abu Dhabi based Clouds Media International today announced the opening of a new office in Kingston, Jamaica that will serve clients in the Caribbean and also open the region for additional business opportunities for the Clouds Media portfolio of companies. CLOUDS MEDIA INTERNATIONAL OPENS OFFICE IN JAMAICA - Corporate Digest
Sasa anaposema nyimbo zake zisipigwe ni kwamba anawaambia akina Ruge au Joe hapo? Ruge anakaa studio? Kusaga aanakaa studio? Tangu lini Ruge au Kusaga akapiga nyimbo studio? Kwanza yeye hakusema Ruge au Kusaga wasipige nyimbo zake bali alisema Clouds wasipige... sasa Clouds ni mtu au taasisi? Alitaja majina kwenye msiba... hapa alisema wazi kwamba siku Jide akifa, Joseph Kusaga na Ruge wasikanyage kwenye msiba wake na kwamba wakienda, watu wawapige mawe!
Hoyaa, shituka wewe... unakosa uhondo; shauri yako!!! Huyo Amalinze mwenyewe aliyeleta hii mada ni fan kindakindaki wa Clouds FM... hapa subiri tu, hamalizi wiki kabla hajaleta mada nyingine kuhusu Clouds!!! Wakati unayafahamu hayo, chukua popcorn huku ukifuatilia haya mautamu unayoyakosa kwa kusikiliza radio za shamba!!!
View attachment 232289
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (kati) pamoja na Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrands Afrika Mashariki, Bw Jawad Jaffer kwa pamoja wakimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga kwa Clouds Fm redio kuibuka na tuzo hiyo ya ubora kwa mara ya tatu mfululizo. Tukio hilo lilifanyika hivi karibuni katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
So what is "Superbrands"?
According to (Superbrands - Wikipedia, the free encyclopedia) The Superbrands organization is an independent arbiter on branding. Its membership programmes pay tribute to the world's leading brands, as selected by experts and consumers. The organization also publishes a series of brand-focused books and publications. Superbrands has launched its programs in many key global markets and has publications in over 86 countries.
Background
Superbrands was founded by advertising executive Marcel Knobil in London in 1994. It began as a radio show on GLR (now BBC Radio London), which was aimed at giving ordinary customers an insight into the significant brands that touched their lives. Due to the success of the show, the Superbrands organization was founded in 1995.
In each country that it operates, it aims to identify brands that perform above and beyond other brands within their respective markets. To facilitate this, each country has an independent and voluntary council, which is made up of notable experts in the branding and marketing communication industry as well as experts from local and international blue-chip organizations. Brands that are rated highly by both the council and consumers are eligible for inclusion in a Superbrands project. Step 1 Study: an independent study elects the strongest brands of the country called Superbrands. Step 2 Reward and Knowledge; Superbrands Seal of Excellence, The Superbrands book. In some countries they also hold seminars and Awards ceremonies.
What is Superbrands and why it is important
Top 20 Best Radio Stations In Africa
Even with the invention of the television, radios have remained a vital part of our lives imagine driving your car without the stereo on. What makes the radio still important is the quality of stations, programs, and presenters that we listen to. Africa has thousands, if not running into millions, radio station all across it. Trying to sift through these numbers to list out 20 best radio stations is no small feat. Having a best radio station is subject to preference, so to avoid having a bias list; we randomly select the top radio stations all over Africa. In no particular order, here are the best radio stations in Africa.
1. Radio Citizen FM FM 106.7, Kenya
2. Peace FM FM 104.3, Ghana
3. Nile FM FM 104.2, Egypt
4. Sheger FM FM 102.1, Ethiopia
5. Breeze FM FM 99.6, Zambia
6. Rhythm FM FM 97.3, Nigeria
7. Clouds FM 88.5 FM, Tanzania
8. Radio Simba 97.3 FM, Uganda
9. Ukhozi FM 90.8 107.4 FM, South Africa
10. Radio Wave FM 96.7 FM, Namibia
11. Chada FM 100.8 FM, Morocco
12. Radio Tiemeni Siantou 90.5 FM, Cameroon
13. ZiFM Stereo 106.4 FM, Zimbabwe
14. Radio Vaovao Mahasoa 106.8 FM, Madagascar
15. Canal A FM 96.5 FM, Angola
16. Metro FM 92.4 FM, South Africa
17. Okay FM 101.7 FM, Ghana
18. Star FM 96.6 FM, Gambia
19. Wazobia FM 95.1 FM, Nigeria
20. SaFM 107.1 FM, South Africa
See More Top 20 Best Radio Stations in Africa. | Network Africa
View attachment 232422
View attachment 232423
View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 View attachment 232424 Watanzania tuna Viroja, wengine utasikia eti Clouds inakufa, kisa... sauti ya Jide ipo kwenye dumped List!!!!
Top 20 Best Radio s in African
tililika hapo chini vingezo au tuulize sisi wananchi uone jinsi watu walivyo wa achia hiyo tv FM vijana wasaluni.
We mjinga hata kuandika hujui nani utamshawishi na hizi pumba zako?
Dot even think your the same level with my three digree
Ha ha ha ha ha ha kuandika una digree tatu imethitisha wazi wewe nimuokota makopo tu. watu wenye digree hatuko kama wewe,
Hebu andika hiyo saluni kwa kizungu....Sms send ww na wao ni kiwango cha saluni tu. Tunaisikiliza tukiwa saluni.
Ilikuwa ni lazima uandike kwa Kiingereza?Dot even think your the same level with my three digree
Hebu nitafsirie hapa: "To facilitate this, each country has an independent and voluntary council, which is made up of notable experts in the branding and marketing communication industry as well as experts from local and international blue-chip organizations."Top 20 Best Radio s in African
tililika hapo chini vingezo au tuulize sisi wananchi uone jinsi watu walivyo wa achia hiyo tv FM vijana wasaluni.
Ilikuwa ni lazima uandike kwa Kiingereza?
Hebu andika hiyo saluni kwa kizungu....
Hapo kwenye nyekundu ulitaka kusema nini hasa? Hebu acha kurukaruka wewe, nimesema andika neno "saluni" kwa Kiingereza, we si msomi wa digrii tatu bhana!!! Halafu kuna siku eti we mwenyewe ukajifanya kuanzisha thread kwenye jukwaa la siasa; thread yako hii hapa:Keep supporting barber shop team know one is interested. Bye have a good day mbululazzz vuvulazzzzz
Una bahati hiyo siku watu akili zao zilikaa vizuri!!!!Ndoto za wanachama wengi wa ccm kugombea urais zimekwisha shindwa kabla ya mbio speed ya mzee lowassa hatari.
Yaani nimecheka... anaogopa kuandika saluni kwa kizungu!!!!Ha ha ha ha ha ha ha ha ha, eti anadgree tatu.
Hivi kuna mburullaz zaidi ya huyuKeep supporting barber shop team know one is interested. Bye have a good day mbululazzz vuvulazzzzz
Ndoto za wanachama wengi wa ccm kugombea urais zimekwisha shindwa kabla ya mbio speed ya mzee lowassa hatari.