kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Wewe ni nani yake? Au nďo mnatakana?
chukua hatua acha kumlealea atakuaribia binti huyo
Acha huyo binti kama kupeleka hizo sms afanye mwenyewe usijiingize kwenye hilo jambo kwani kwa jinsi watoto wa kike walivyo unaweza kuumbuka si ajabu siku ukasikia mzee keshamaliza na wewe ndo utaonekana mmbeya
Yeye aseme tu kwamba huyo mzee anamuingilia anga zake
Ndo maana bongo hatuwezi kuendelea mtu una familia una nyumba ndogo bado unabadili vibinti vya chuo kila weekend halafu bado unalalamika maisha magumu. Wakati 70 % ya income yako unapoteza kwenye paluchi.