Piga hesabu dola 350 mara 1700 utapata jibu kama ni free shipping
Piga hesabu dola 350 mara 1700 utapata jibu kama ni free shipping
Ndugu, habari zenu.
Kuna simu ninataka kuinunua, nimeiona ktk gulio la www.amazon.com..
Swali langu ni hili, itanigharimu bei gani kwa fedha zetu za madafu kuiagiza hadi kunifikia hapa Dar?
Na wameandika ni free shipping
5,950,000/pesa ya madafu
Je, hakuna gharama nyingine? Mfano, Kodi ya Tra, gharama za kutuma fedha etc kama zilivyo gharama pindi kuagiza Gari??
Free shipping kutoka wapi kwenda wapi?
Unaweza ukakuta hiyo free shipping ni ndani ya US au ndani ya nchi ambayo huyo muuzaji yupo...
Inawezekana kutoka nchi yoyote hiyo free shipping mimi huwa naagiza vitu kutoka China na mara nyingi huwa naangalia huo mzigo kama unasafirishwa bure lakini tatizo la free shipping mzigo huwa unachelewa kufika
Free shipping kutoka wapi kwenda wapi?
Unaweza ukakuta hiyo free shipping ni ndani ya US au ndani ya nchi ambayo huyo muuzaji yupo...