Mmeniudhi leo clouds TV..... Kuhoji hawa live bila mwanasaikolojia mnazidi kuchochea kuongezeka kwa hawa watu....
Imagine linavyobwabwaja, wanetu wataona ni fashion kuwa hivi.....
TCRA naomba muingilie kati please...
Nimejaribu kusummarize ulichokisema:
Mbowe kakimbia nchi na kwenda kuponda raha south Africa, ingawa rafiki yako ambaye ni kiongozi wa juu wa CHADEMA kasema anaenda kwa shughuli za kichama kumbe anaenda kwenye biashara zake.
Hakuna aliyejua sababu za msingi za kwenda huko, ila Paul Makonda na...
swali lako ni zuri ingawa naona wazee wa ligi washaanza kuliteka na kulipeleka kwenye ligi yao.
kuna ukweli hapo, mfano uislam na ukristo umetoka huko kwa wenyewe, lakini ulivyokuja kwetu sisi tuliokua na dini za kijadi ndo tumekuwa wakereketwa na wafurukutwa kushinda wao
mi nafikiri kwa wengi...
acha uongo, mdogo wangu kaoa mchina na mkewe kajifungua dume chotara, liko safi tu na jamaa hajahama guangzhou mpaka leo. hayuko peke yake wako wengi tu pale
pia uwe na uhakika wa jinsi ya kulitumia neno `species' maana iko species moja tu ya human nayo ni Homo sapiens ambayo inatujumuisha wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.