Hii kitu mnatumia?

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Hebu tuambizane wazi jamani, watu wa makamo na wazee HATA VIJANA, hivi kondomu mnazitumia, tuseme tu wazi mmoja mmoja, mimi kusema kweli siwezi kutumia kondomu kabisaaa, tena siwezi kuona raha ndiyo maana niilioa MAPEMA! WEWE JE? na nyie wanawake?
 
Heri yako na hakikisha wote hawawili ni waaminifu kwenye ndoa yenu. Kwa wale wasiojikinga mkidaka ukimwi na mauti yakiwakuta tumechoka kusikia uwongo ooo kafa na kansa, kisukari mara ooo taifodi. Jueni myatendayo gizani yatakuja funuka peupe.
 
Vipi haumegi pembeni(haujiibi)?,tangu umeoa hujawahi kumega pembeni??
 
Heri yako na hakikisha wote hawawili ni waaminifu kwenye ndoa yenu. Kwa wale wasiojikinga mkidaka ukimwi na mauti yakiwakuta tumechoka kusikia uwongo ooo kafa na kansa, kisukari mara ooo taifodi. Jueni myatendayo gizani yatakuja funuka peupe.
Kama je mmoja wao sio mwaminifu, unashauri awe anamkula mkewe kwa kutumia kondom?
 
Kama je mmoja wao sio mwaminifu, unashauri awe anamkula mkewe kwa kutumia kondom?
kama mkeo hajatulia au wewe mwenyewe haujatulia ni heri umege kwa mpira ili usijemletea mwenzi wako matatizo...kumega kwa kondomu mbona kumetulia tu...
 
Natumia kupanga uzazi mkuu. Bomba sana. Kijana wangu mdogo wa mwisho ana miaka 13 sasa.
Sifanyi zinaa katu!
Nimekombolewa na Yesu toka shida hiyo.
 
Nililenga sana kwa watu wasiooa, na watokao nje ya ndoa zao. binafsi tangu nioe sijatoka nje ya ndoa, lakini nikikumbukia huko nyuma sikujiskia raha kabisa nikifanya mapenzi na kondom, tena unatumia nguvu nyingi sana mpaka ishu inauma siku nzima! na kati ya wanawake nilotembea nao woote, ni wawili tu walionisisitiza condomu hata baada ya miezi mitatu, na mmoja nakumbuka kuna siku kondomu ilipasuka alilia sana mpaka tukaenda kupima-pamoja na kukutwa safi lakini alisisitiza kondomu, wengine woote walikuwa wanapanua miguu tu-tena wengine ni wasomi na madaktari! Najua kila mtu ana siri yake moyoni.....lakini naamini hii kitu inatumika kwa asilimia chache sana, WATU WANAOGOPA TU KUSEMA.
 
I dont believe in this stuff, not at all!
Nilijaribishaga mwanzoni kama kuwa inquinsitive tu, but i havent liked them since!
I better do something else than condom.
 
now days mapenzi yako advanced, kama utaumia condom chini na mdomoni je?
 
kwa vijana ambao wapo wapo sana, inabidi tutumie tuu hata kama ladha inapungua, bora ulinde maisha yako. si vizuri kumwamini mtu kama hamjapima hata kama uko nae kwa muda mrefu.
 
uchunguzi unaonesha kuwa matumizi ya kondomu kwa vijana wasiooa wanapojamiiana kwa mara ya kwanza ni asilimia 88, baada ya mwezi mmoja wa kujamiiana matumizi yanashuka mpaka 61%! miezi mitatu baadaye ni asilimia 35 tu! wewe unatuambia unatumia kondomu ya wapi? na kama unatumia basi hutumii kikamilifu!
 
I dont believe in this stuff, not at all!
Nilijaribishaga mwanzoni kama kuwa inquinsitive tu, but i havent liked them since!
I better do something else than condom.

hahahahaha si useme punyeto tu, eti something else!!!
ukitaka ujue utamu wa kavu ni pale condom inapopasuka, dunia mbili tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom