Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

MODS mtafanya la maana kama mtaifunga hii thread. Maana mpaka imefikia page ya nane lakini hamna substance. Kuendelea kwa thread hii itakuwa ni matumizi mabaya ya JF. Kama vipi muihamishie hii thread kwenye PM za hawa waarabu wa Pemba GT vs Chechetuka bin Chetuuu, maana ni wazi hawa ni malenga wenye nia ya kuleta sanaa za majigambo na mipasho. Sasa twaomba wapatiwe ukumbi private huko waoneshane umwamba.

Naomba kuwasilisha hoja binafsi.

duh!!

yale yaleee....

uzuri ni kuwa Mods ni werevu kuliko mnavyofikiria
 
Mkuu wangu waseme wao, wanaotia shaka juu ya Uongozi wake..binafsi sijui baya hivyo kunambia kutafuta yai bovu ktk kapu ni kunipa kazi mpya
 
Hii mbona kama imekaa personal attack kuliko hoja ya kwanini Membe ana matatizo. Sijawahi kumsikia akijisifu kwamba yeye ni chagua la Kikwete au ni rafiki wa Ban ki Moon, unless unahoja ya kuthibitisha hayo. Naona mambo mengine ni kama wanamzulia tu hayana ukweli wowote

Wewe ni personal assistant wake au unafanyakazi nae uweze kusikia uongo wake anapozungumza na wafanyabiashara kama wakina Malinzi? Kidogo naanza kuamini kuwa huyu bwana ana matatizo kwani nakumbuka kabla hajawa waziri enzi za Ben alikuwa anapenda sana kuongozana na mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Ethiopia ambaye wakati huo alikuwaanaendesha hotel moja kwenye nyumba aliyopanga NDC sehemu za Oysterbay; hivyo basi inawezekana kuwa huwa anakuwa pia na hawa wakina Malinzi ambao huwa wanatafuta ukaribu na wanasiasa na hasa Mkulu mwenyewe, na huko ndiko anakolopoka uongo wake ili apate ujiko kwani hata yule muethiopia nadhani walikuwa wanafanya nae madudu fulani kwani yule bwana hajanyooka!!
 
Yes, bila kutujuza tutajuaje yaliyo chini ya kapeti? Ni ngumu sana kujua kila kitu kila wakati!
Ili iwe msaada kwa watu wote ingekuwa vema hiyo ajenda yake na Libya ikawekwa bayana.Vinginevyo,mmmhhhh!
 
WAPO WENGI MFANO WAZIRI MUSTAFA MKULO AMEANDIKWA SANA VIBAYA NA GT,ZITTO KABWE AMBAYE NI MUISLAM ALIPOKWENDA BUSANDA NA KUTOA KAULI YA BAJAJI KWA MZEE MALECELA.GT ALIMSHAMBULIA ZITTO NA KUMTETEA MALACELA MUANGILIKANA.

GT ALIMSHAMBULIA SANA ZITTO ZUBEIR NA KUMTETEA SANA JOHN MALECELA

.GT AMEMSHAMBULIA SANA MWANDISHI MUISLAM SAEED KUBENEA NA AMEMTETEA SANA KILANGO MALECELA.KUNA THREAD ALIANZISHA IKISEMA MKULO AJIUZULU. WAKO WENGI WAISLAM WAMESHAMBULIWA NA GT FUATILIA POSTS ZAKE.swali zaidi?

G.T. mara nyingi hushmbulia watu wasio wa madhehebu yake na ukiona anamshmbulia mtu ambae ni muislam kama vile Mkullo ujue ana mtu wake anaempigia ndogo ndogo ili awezekufikliwa kuchukua nafasi hiyo ili waweze kufisadi!! Mfadhili wake mmoja ndio anausongo sana na uwaziri wa fedha na ndio maana huwa tunamshauri amwambie huyu bosi wake akagombee ubunge ili apate uwaziri wa fedha!!
 
Kwenye maneno kumi chukua moja tisa ni porojo, majungu,uzushi,ulaghai. Unajua mtu akiwa wa laghai atadanganya kwa muda .namuomba jk amtizame sana huyu (membe) atagundua tu ni mtu wa ulaghai ana sifa ya ukinyonga.

Makamba / Guninita?? Nadhani ni ugonjwa CCM .... for your survival??

Anapenda sana kununua waandishi na vyombo vya habari.

JK, EL, Rostam etc wote ndio zao ... so sidhani kama ni issue!!
 
mwanaidibc.jpg
 
Labda 2015 ni candidate wa uraisi si wote wmeazia foreign affair
 
Bwana Game Theory, he who alleges must prove. Wakati mpaka wakati huu hujatuambia wala kutoa details za uongo wake, inaonyesha dhahiri kwamba wewe ndiye muongo kwa sababu umetuhumu na kushindwa kuuthibitishia umma wa JF kwamba huyu bwana ni muongo. Kuhusu sakata ya vitambulisho vya kitaifa nadhani mjadala ulishafungwa ingawaje haikatazwi kuufungua kama kuna ushahidi sasa wa kumu-implicate na skata hili badala ya kudandia bila facts zilizo concrete. Bwana GT hili kundi la mafisadi lililokutuma umejiunga nalo toka ulipokuwa UK au baada ya kurudi bongo? Mie nasema hiyo mob justice unayotaka kuiendesha dhidi ya membe bila ya kuwa na hata chembe ya ushahidi wa kuunga mkono hoja zako ni upuuzi ambao hapa JF tulishaukataa!
 
Hii thread ifungwe otherwise tutakua jamvila majungu sasa.

Hapana majungu hapa, kama hujui chochote tulia upakuliwe nawe ule, kama wajua lolote lete mezani, ila kwangu mie Membe toka siku aliyokataa kichwa mchungwa ile issue ya Tanzania kuhusika na silaha namwona ni hatari kubwa huko mbeleni kwani ana diplopic Deplomasia na si ile International tunayoijua, Membe also is behind OIC nani asiyejua hilo hebu angalia hapa anapojaribu kushawishi watu kuvunja katiba "What and why are we afraid of in joining the OIC?" hii yote ni kutaka kura za moslems hapo baadaye bila kujali kwamba anavunja katiba, Nilimwona Membe hana hata chembe ya busara pale alipowaeleza Mabalozi kwamba haiwezekani kutimiza uamuzi wa mahakama, Membe katoa wapi kiburi hiki? ana nini kibindoni anachotegemea, Membe ni zaidi ya mahakama? hakika hafai!
 
Bwana Game Theory, he who alleges must prove. Wakati mpaka wakati huu hujatuambia wala kutoa details za uongo wake, inaonyesha dhahiri kwamba wewe ndiye muongo kwa sababu umetuhumu na kushindwa kuuthibitishia umma wa JF kwamba huyu bwana ni muongo. Kuhusu sakata ya vitambulisho vya kitaifa nadhani mjadala ulishafungwa ingawaje haikatazwi kuufungua kama kuna ushahidi sasa wa kumu-implicate na skata hili badala ya kudandia bila facts zilizo concrete. Bwana GT hili kundi la mafisadi lililokutuma umejiunga nalo toka ulipokuwa UK au baada ya kurudi bongo? Mie nasema hiyo mob justice unayotaka kuiendesha dhidi ya membe bila ya kuwa na hata chembe ya ushahidi wa kuunga mkono hoja zako ni upuuzi ambao hapa JF tulishaukataa!

Phew!

at last...umerudi eeeh?


as long as umerudi sasa nadhani mjadala utanoga zaidi

I'm so happy kuwa umerudi ukumbini!
 
"Wakati masakata ya akina Sitta na wenzie yanawaweka watu bize..huyu bwana has been busy na mambo mengi tuuu ambayo ni sinister na yanaenda na kinyume na NATIONAL INTEREST na NATIONAL SECURITY"

Hilo hapo juu ndio kombora alilolirusha GT. Lakini kinachonishangaza ni kuwa, badala ya GT kutuletea facts za shutuma zake, zoezi lote linahamia ktk personality sasa, ambapo wachangiaji wengi wameamua kumshambulia Membe hata bila kujua hoja ya msingi ilikuwa ni nini. Nawahisi wachangiaji ktk thread hii, hebu turudi ktk hoja ya msingi badala ya kwenda kama gari lisilo na dereva.

GT jana kabla sijaenda kuzimika nilikuomba utuletee ushahidi wa shutuma zako, je umefikia wapi? Na kwani unatuletea picha ya Mheshimiwa Waziri huyo ktk thread hii< kuna uhusiano gani kati ya shutuma ulizozitoa na mama huyu?
 
BabaBabuu usikasirike, utaumia bure, hayo ndio majungu yenyewe. Mimi namtaka GT ajibu maswali yangu kabla sijaanza kumtengeneza vizuri, na hasa ktk hoja hii. Nataka kuweka rekodi sahihi ya jambo hili ktk JF.
 
Back
Top Bottom